Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,270
- 111,361
Na tukumbuke robo tatu ya Ethiopia ni jangwa na maji wanayotumia ni bahari
Mzee baba hapa unatushika masikio, Ethiopia ni land locked, upande wake wa mashariki kuna nchi za Eritrea, Djibout na Somalia...
Vyanzo vya maji ni mto Nile, mabwawa na visima...