Niambie ni mkoa gani na mimi nihamie mkuu.Tanzania hii hii,mbona hushangai litan20 ya maji kuuzwa sh.50?
Sishangai kwa sababu cost of production za umeme na maji ni tofauti. Umeme unazalishwaji maji yapo tu nature imetupatia.
Niambie ni mkoa gani na mimi nihamie mkuu.Tanzania hii hii,mbona hushangai litan20 ya maji kuuzwa sh.50?
Sidhani kama wanatumia maji ya bahari kwasababu Ethiopia imepitiwa na mto NileNa tukumbuke robo tatu ya Ethiopia ni jangwa na maji wanayotumia ni bahari
Kama yapo tuu si ukachote mbona unailalamikia Serikali?Niambie ni mkoa gani na mimi nihamie mkuu.
Sishangai kwa sababu cost of production za umeme na maji ni tofauti. Umeme unazalishwaji maji yapo tu nature imetupatia.
Endelea kujifariji 🤪😜Sawa, na wewe ukae mkao wa kutafunwa muda utakapowadia.......
mambo si rahisi mamna hiyokodi tunayolipa katika kila bidhaa ndiyo gharama....Africa mashariki imejaa viongozi wezi. Ni eneo ambalo umeme na maji ni anasa kwa raia yake. Ofcourse ukiondoa drc, maana drc maji na umeme ni cheap
Sikujua, kumbe na wewe ni miongoni mwa walamba asali, Hongera mkuu.Boya wewe ngoja tuendelee kuzitafuna
Wala sio mlamba asali ila natafuta Chaka siwezi onea hurumaSikujua, kumbe na wewe ni miongoni mwa walamba asali,Hongera mkuu.
Hiyo si ni posho mkuu, watu wanasafiri wanalipwa posho.......hakuna wizi hapo. Kuna ile mijizi iliongeza cha juu pesa ya kununua ndege nyingine mpya ya mizigo.Endelea kujifariji 🤪😜
Tzn hii hii ambayo usipoiba unaonekana boya? Utasubiria sana 😂😂 nadhani unajua watu wamepitisha posho ya bil.47 na imetoka hiyoo
😜😜😜😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 Wanasafiri au siyo? 😁😁😁😁😁Hiyo si ni posho mkuu, watu wanasafiri wanalipwa posho.......hakuna wizi hapo. Kuna ile mijizi iliongeza cha juu pesa ya kununua ndege nyingine mpya ya mizigo.
Nimelalamika sehemu gani mkuu zaidi ya kukuuliza ni wapi Tanzania unapata unit 90 kwa 9k, kamwe bei ya maji haiwezi kuwa sawa na umeme ili hata mtoto mdogo analijua,kwa hiyo mfano wako sio valid.Kama yapo tuu si ukachote mbona unailalamikia Serikali?
Mkoa wowote inategemea uko kwenye tarrif ipi ya matumizi.
we unaota au? maji ya bahari lini yakatumika? Wengine ili mradi muonekane mmeandika?Na tukumbuke robo tatu ya Ethiopia ni jangwa na maji wanayotumia ni bahari
Kazi ya serikali Ni kutoa huduma kwa walipa Kodi wakebure inagharama
Acha watumishi nao walambe asali, mama kaongeza viwango vya posho ya safari.......hivi mnataka nchi hii wanasiasa peke yao ndo wafaidi?😜😜😜😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 Wanasafiri au siyo? 😁😁😁😁😁
Sio bure kila mtu analipa kodi.bure inagharama
sio bure, ikumbukwe bure inagharamaKazi ya serikali Ni kutoa huduma kwa walipa Kodi wake
Sasa unalaumu Ufisadi upi? Unaelewa maana ya nemo Ufisadi kwanza?Acha watumishi nao walambe asali, mama kaongeza viwango vya posho ya safari.......hivi mnataka nchi hii wanasiasa peke yao ndo wafaidi?
Ethiopia wana bahari?Na tukumbuke robo tatu ya Ethiopia ni jangwa na maji wanayotumia ni bahari
Watumishi kulipwa posho inakuwaje ufisadi? ufisadi ni kuongeza bei ya bidhaa kama ndege kuwa mara mbili ya bei iliyoafikiwa kwenye mkataba wa manunuzi.Sasa unalaumu Ufisadi upi? Unaelewa maana ya nemo Ufisadi kwanza?