Goodluck mkuu.Wala sio mlamba asali ila natafuta Chaka siwezi onea huruma
Goodluck mkuu.Wala sio mlamba asali ila natafuta Chaka siwezi onea huruma
sasa ndio tunageuza hayo malipo kua huduma na mwananchi kuchangia lengo likiwa huduma iweendelevu na kuweza kuchangia huduma nyingine kupatikana piaSio bure kila mtu analipa kodi.
we unaota au? maji ya bahari lini yakatumika? Wengine ili mradi muonekane mmeandika?
Kakosea tujikite kwenye mada kama title inavosemaEthiopia wana bahari?
Hebu tueleweshe hapa kidogo hii ni bahari gani? Sisi wengine hatukusoma
Sikuelewa logic yako hapa unaposema vya bure vina gharama, ilihali na huko pia wanalipia kwa gharama nafuu na sio bure kabisa, hebu nieleweshe hapo?sasa ndio tunageuza hayo malipo kua huduma na mwananchi kuchangia lengo likiwa huduma iweendelevu na kuweza kuchangia huduma nyingine kupatikana pia
Waliiba Nini na wapii???VIONGOZI WA TANZANIA NI WEZI.
WAMEKAA KUJILIMBIKIZIA MALI.
Report ya CAG ukuisikia mkuu au uishi Tanzania??Waliiba Nini na wapii???
unafahamu kila serikali inamfumo wa ukusanyaji wa pesa muda ukifika huduma za umeme zitashuka watu wazalishe kupitia huo umeme na huduma nyingine zitapanda hii ni muhimu popote pale duniani,kwa sasa bado tunajitafuta na jemedari JPM alianza kulifanyia kazi hilo tuombe mvua zizidi kuwaumbua chadema hatimae nyerere ifurike majiSikuelewa logic yako hapa unaposema vya bure vina gharama, ilihali na huko pia wanalipia kwa gharama nafuu na sio bure kabisa, hebu nieleweshe hapo?
Kuna tofauti Kati ya kuiba na kutosimamia vyema ofisi ya umma ikasababisha hasaraReport ya CAG ukuisikia mkuu au uishi Tanzania??
Huko kwenu machame mbona maji ni bure na umeme haufiki hata elfu tano! Ethiopia itakuwa ni ghali kuliko hata huko kwenu ila kutokana na ujuha wako ndio maana unaandika pumbaInashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tanzania kama elfu kumi hivi kwa mwezi, na maji ni shilling elfu kumi za Tanzania kwa mwaka, namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka.
Hii pia inawezekana Tanzania lakini chini ya magenge malafi yenye selfish interest tusahau.
Tumewakamata wahamiaji haramu 200 kutoka Ethiopia [emoji1098] waliojificha kwenye contena la mizigo kama vifurushi,
kati yao 120 wamekutwa wanahali mbaya kiafya
====
[emoji115]Hizi ni report za police Tanzania kila baada ya miezi 2
Yaani ingekuwa maisha ya huko mnakosema ni nafuu hivyo vijana wao wengi wasingekuwa wahanga wa vifo kabla ya wakati.
Tanzania [emoji1241] ni Taifa Teulee
Sababu zenu bado hazijustify kuwa ni sawa kwa Tz kuwa na bei kubwa za umeme na maji.Huko kwenu machame mbona maji ni bure na umeme haufiki hata elfu tano! Ethiopia itakuwa ni ghali kuliko hata huko kwenu ila kutokana na ujuha wako ndio maana unaandika pumba
jamaa wa chadema hao kazi yao ni kulalama tuh na ujuaji kuna nchi huru kama Tz mfano apo kwenye umeme mbona kule kijijini kuna watu wapo zero tariff kwa mwezi wanatumia umeme ya 5000 tuh hadi 1000, maji wanapata bure ,elimu bure yani ni enjoyment ya hali ya juu hadi wakongo wanakuja hapa wanashangaTumewakamata wahamiaji haramu 200 kutoka Ethiopia [emoji1098] waliojificha kwenye contena la mizigo kama vifurushi,
kati yao 120 wamekutwa wanahali mbaya kiafya
====
[emoji115]Hizi ni report za police Tanzania kila baada ya miezi 2
Yaani ingekuwa maisha ya huko mnakosema ni nafuu hivyo vijana wao wengi wasingekuwa wahanga wa vifo kabla ya wakati.
Tanzania [emoji1241] ni Taifa Teulee
Tarrif 0 umeme hautakiwi kuvuka elf tisa. Nanunua wa elf kumi napata units 73 ila units zake ni feki sometimes hazitoboi mwezi na matumizi ni Yale YaleUkiwa kwenye tarrif ya low income unatumia umeme kiasi gani? Na kwa taarifa yako haitakiwi kuvuka elfu 9 na unawasha miezi mitatu.
Nitumie umeme mkubwa kwani nyumbani kuna mashine ipi ya kula umeme? Ya kufulia?
Mkuu hio tv inayotumia 1.8 ni ya wapi, hivi unaichukuliaje unit 1.8 boss?Mashine ya kufulia haili umeme, ikizidi sana ni Unit 1 na hapo umefua masaa 2
Fridge na Freezer hutumia unit 2 kwa siku
Feni hutumia 0.75 unit kwa siku.
TV hutumia 1.8 unit kama itawashwa masaa 24
Wewe ndio fake na sababu ya hiyo ni kuwa unatumia matumizi ya kufikia elfu 10,tarrif zero haitakiwi kuvuka elfu 9,Mimi natumia karibu miezi 3 Kwa elfu 9 tuu.Tarrif 0 umeme hautakiwi kuvuka elf tisa. Nanunua wa elf kumi napata units 73 ila units zake ni feki sometimes hazitoboi mwezi na matumizi ni Yale Yale
Elf 10 manake toa buku Lile la Kodi ya nyumba boss inabaki elf 9 ndivyo tanesco walivoniambia na nihakikishe nanunua kila mweziWewe ndio fake na sababu ya hiyo ni kuwa unatumia matumizi ya kufikia elfu 10,tarrif zero haitakiwi kuvuka elfu 9,Mimi natumia karibu miezi 3 Kwa elfu 9 tuu.
Basi Mimi ni elfu 9 plus hiyo Kodi ya nyumba na umeme unafika karibu miezi 3.Elf 10 manake toa buku Lile la Kodi ya nyumba boss inabaki elf 9 ndivyo tanesco walivoniambia na nihakikishe nanunua kila mwezi
Watts 90*24 inakuja unit ngspi?Mkuu hio tv inayotumia 1.8 ni ya wapi, hivi unaichukuliaje unit 1.8 boss?
Matumizi hayawezi kufanana. Pia huenda nyumba Ina leakage ya umemeBasi Mimi ni elfu 9 plus hiyo Kodi ya nyumba na umeme unafika karibu miezi 3.
Ikague maana Mimi hapa naposema hiyo bei ni familia 3,mbili za wapangaji.Matumizi hayawezi kufanana. Pia huenda nyumba Ina leakage ya umeme