Ethiopia umeme ni Shilingi elfu 10 kwa mwezi na maji shilingi elfu 10 kwa mwaka

Ethiopia umeme ni Shilingi elfu 10 kwa mwezi na maji shilingi elfu 10 kwa mwaka

Hizo rate zinawezekana mbona, lakini siyo kwenye nchi zilizojaa majizi kama hapa bongolala, majitu yanawaza kupiga tu na si kingine.......stupid katika ubora wao huambulii hata mabua.
 
Hizo rate zinawezekana mbona, lakini siyo kwenye nchi zilizojaa majizi kama hapa bongolala, majitu yanawaza kupiga tu na si kingine.......stupid katika ubora wao huambulii hata mabua.
Kwani wewe hutaki kupiga?
 
Hata bila maji ya bahari yaani kwenye vichoteo vya serikali maji Lita 20 sh.50 bei ikizidi Huwa ni 100 Sasa hii ni hela ya kulalamika?
Mkuu wewe umedandia gari kwa mbele nimemjibu aliesema maji ya bahari hawezi tumika
Ndio nikamjibu unaweza tumia kwa kufanya Sea water desalination na yakawa safi kwa kutumia
 
Yani mmeshindwa kushushiwa bei ya kifurushi cha data ndio ije kuwa umeme na maji? Nyie tulieni tu

Bunge linafikiria njia mbadala wa kupata vyanzo vipya vya mapato, nyie mnataka mpumguziwe gharama za maji na umeme mapato yapungue.

NIKO PALE naangilia mnavyojifurahisha na kujifariji na ndoto za mchana.
 
Umeme unaozalishwa na Maji wanasema ni gharama nafuu sana hata Zimbabwe na Zambia umeme upo chini sana ila Tanzania Umeme ni kwa matumizi ya taa kupiga pasi na kucharge simu kidogo fridge nyumba nyingi hazina washing mashine wakiogopa gharama kubwa ya Tanesco au uweke Jiko la umeme hiyo bill yake wanaweza kuondoka na nyumba...
 
Kwa Tanzania kwenye umeme kumewekwa Kodi kadhaa ndio hiyo pia inaleta utofauti..

Kumbuka bei ya umeme unayouzawa hata Sasa Ina ruzuku usisahau Hilo
 
Kwa Tanzania kwenye umeme kumewekwa Kodi kadhaa ndio hiyo pia inaleta utofauti..

Kumbuka bei ya umeme unayouzawa hata Sasa Ina ruzuku usisahau Hilo
Ni wizi tuu mkuu kwa nini wasitoe kodi ukisikia wameweka ruzuku sehemu wanayochukua kodi jaribu kutikisa kichwa hapo ili upate majibu sahihi...
 
Watanzania wengi wanalipia Viwanja wasivyovimiliki kwa kununua Luku...hii laana haitawaacha salama
 
NDIO MAANA
Inashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tz kama elfu kumi hivi kwa mwezi. Na maji ni Shilling elfu kumi za Tz kwa mwaka , namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka.

Hii pia inawezekana Tz lakini chini ya magenge malafi yenye selfish interest tusahau.

Ndio maana umesema wao ni masikini, kwahiyo masikini hua hawezi kumudu gharama za maisha
Wao ni masikini ndio maana hawana uwezo wa kulipa bill za maji na umeme, sisi hatuko kwenye hilo kundi bro
 
Back
Top Bottom