Ethiopia umeme ni Shilingi elfu 10 kwa mwezi na maji shilingi elfu 10 kwa mwaka

Kila kitu cha umeme kwa anzia pasi na jiko la umeme. Na civil servants watumishi wa umma woote wanapewa ruzuku subsidies kwenye nauli kodi ya nyumba na voucher kwenye groceries. Narudia tena bill ya maji Ethiopia ni ni elfu 10 kwa mwaka. Na umeme wa household bila kubana matumizi ni elfu 10 kwa mwezi.

Mkuu ingia Google uthibibitishe ama soma comment #130.
 
Sasa inakuwaje wanakutwa kwenye mafuso wakikimbia nchi yao?
 
No hurry in Tanzania,mdogo mdogo tutafika huko!
Maadam tulishakubali kufa na tai shingoni naamini tutafika tu!
 
Mto Nile unaanzia wapi!?..maji yalikua Bei moja miaka ya 90 hata uwe na bustani na umwagie kutwa,idara za maji zilifeli..acheni kupenda bure
...Nani kasema tunataka Bure ? Tunataka Bei ieleweke kama hao.
Sio kutujazia Mi tozo ili Waheshimiwa waishi Maisha ya Anasa kama ya Kununua Magari ya Milioni Mia 5 Kwa gari !!! [emoji35][emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…