MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
- Thread starter
-
- #61
Hii kauli inaonyesha serikali ya Abiy imeshindwa na haiwezi tena kuiangamiza Tplf ni bora wazungumze tu.
NEWS UPDATE
Mnamo saa Tisa Alasiri ya leo saa za Afrika Mashariki,Wapiganaji wa Tigray wameukamata Mji mwingine Wa Fediah ulioko Kilometa 128 kutoka Mji Mkuu wa Addis Ababa. Mji huo ndio unapita barabara kuu ya Magari inayounganisha Nchi ya Ethiopia na Djibout.
Waasi wa TPLF wamesema wanaelekea Mji Mkuu wa Addis Ababa na wanasema Mji huo utakuwa chini ya udhibiti wa Majeshi yao ndani ya Mwezi Mmoja au wiki chache zijazo.
Source: Reuters.
Nusu saa iliyopita TDF wamerudishwa nyuma baada ya kula kisago kikali baadhi ya maeneoNEWS UPDATE
Mnamo saa Tisa Alasiri ya leo saa za Afrika Mashariki,Wapiganaji wa Tigray wameukamata Mji mwingine Wa Fediah ulioko Kilometa 128 kutoka Mji Mkuu wa Addis Ababa. Mji huo ndio unapita barabara kuu ya Magari inayounganisha Nchi ya Ethiopia na Djibout.
Waasi wa TPLF wamesema wanaelekea Mji Mkuu wa Addis Ababa na wanasema Mji huo utakuwa chini ya udhibiti wa Majeshi yao ndani ya Mwezi Mmoja au wiki chache zijazo.
Source: Reuters.
Dah!...Abiy kaizamisha kabisa Ethiopia....ila mazungumzo ndio njia pekee ya kumaliza huu mzozo.TDF na OLA wamekwama kusonga mbele zaidi drone zinawazingua View attachment 1999134
Hiyo nchi itasambaratika. Shirikisho lao likikuwa dhaifu kupita kiasi. Ila bado najiuliza, nani anawapa hawa watigray silaha? Maana hadi jeshi linaretreat bila formation ujue limekutana na kipigo kikali.Dah!...Abiy kaizamisha kabisa Ethiopia....ila mazungumzo ndio njia pekee ya kumaliza huu mzozo.
Hata hao Tplf na Ola wakishinda Vita hawataweza kuleta utulivu na makundi mengine ya jamii bila mazungumzo.
Hiyo nchi itasambaratika. Shirikisho lao likikuwa dhaifu kupita kiasi. Ila bado najiuliza, nani anawapa hawa watigray silaha? Maana hadi jeshi linaretreat bila formation ujue limekutana na kipigo kikali.
TDF hawawezi kukubali mazungumzo kwa hatua waliyofikiaDah!...Abiy kaizamisha kabisa Ethiopia....ila mazungumzo ndio njia pekee ya kumaliza huu mzozo.
Hata hao Tplf na Ola wakishinda Vita hawataweza kuleta utulivu na makundi mengine ya jamii bila mazungumzo.
Kutegemea majeshi ya kigeni ni moja ya taboo jeshini. Sasa huyu sijui ni kamanda wa namna gani? Ilainaonekana maji yako shingoni mwake.Abiy anatumia zaidi wanajeshi wa Eritrea moral ya wanajeshi wake ipo chini saana pia wamama wanaandamana hawataki watoto wao kuingia front line wanadai hiyo ni vita ya Aby mwenyewe
kwa hali hii ni vyema Aby akakimbia nchi kwa aibu
Kutegemea majeshi ya kigeni ni moja ya taboo jeshini. Sasa huyu sijui ni kamanda wa namna gani? Ilainaonekana maji yako shingoni mwake.
Naona M7 nae ameitisha kikao Cha Marais wa EA kujadili hali ya Ethiopia,isije ikawa ndio anataka kumuokoa Abiy baada ya kuona Hali Ni tete.TDF hawawezi kukubali mazungumzo kwa hatua waliyofikia
Niliona kwny Tv siku 1 Hadi wakina Mama wamepanga foleni huko mtaani wanapewa mafunzo ya kulenga shabaha (range) na vijana wadogowadogo kabisa nao wakiwa trained nikajua hapa hakuna kitu.Inaonekana uamuzi wa kuivamia Tigray ulikuwa ni wa kwake binafsi na kwa maslahi yake juzi alichukua JKT wa huko akawaingiza front line ndio hao ambao wakisikia tu milio ya BM wanajisalimisha na kukimbia
Kuna Jeneral mstaafu wa Nigeria anasema Aby ni mpango ili kuivunja EthiopiaNaona M7 nae ameitisha kikao Cha Marais wa EA kujadili hali ya Ethiopia,isije ikawa ndio anataka kumuokoa Abiy baada ya kuona Hali Ni tete.
PK wkt Watigray wanapewa kichapo heavy mwanzo mwanzo kabisa alitoa kauli khs mgogoro huo akasema ana wasiwasi inaweza ikafikia hatua ya Genocide Makabila mengine huko Ethiopia yakamlaumu kishenzi kwa hio kauli ,Yakasema PK anawatetea Watigray sababu Zenawi alikua rafiki yake saaana.
Kuna kauli ameitoa Abiy kule Facebook,a imeiondolewa na fb kwny page yake alisema "he will bury foes 'with our blood'',wanasema inachochea mauaji hata inaweza ku incite genocide,lkn Cha ajabu huyu Abiy wkt wa genocide ya Rwanda alikuwepo Kigali kwny wale walinda Amani nikadhani atakua na akili ya kujua Amani ikipotea Hali hua inakuaje, kumbe jamaa Ni empty brain kabisa.
Mwanzoni wa vita viongozi wa Tigray walikuwa wanasema kuwa hatuwezi shindwa. Maisha yetu yote tumeyatumia kupigana. Jamaa watigray ni seasoned fighters. Bila mtu kumuokoa Aby anaanguka.Kuna Jeneral mstaafu wa Nigeria anasema Aby ni mpango ili kuivunja Ethiopia
M7 hata awaite Spertnaz wa urusi Sidhani kama itakuwa simple kuwasimamisha wa Tigray ambao now wapo wanajikusanya kuelekea Addis WANANCHI wameonesha muitikio wa kulinda Addis kwa kufunga njia kwa mawe [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1999310View attachment 1999311
ππππ Kwamba hizo road ndio blockade? hakika muitikio wao Ni wa kishenzi Sana Hahah.Kuna Jeneral mstaafu wa Nigeria anasema Aby ni mpango ili kuivunja Ethiopia
M7 hata awaite Spertnaz wa urusi Sidhani kama itakuwa simple kuwasimamisha wa Tigray ambao now wapo wanajikusanya kuelekea Addis WANANCHI wameonesha muitikio wa kulinda Addis kwa kufunga njia kwa mawe [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1999310View attachment 1999311
Inaonekana uamuzi wa kuivamia Tigray ulikuwa ni wa kwake binafsi na kwa maslahi yake juzi alichukua JKT wa huko akawaingiza front line ndio hao ambao wakisikia tu milio ya BM wanajisalimisha na kukimbia
Niliona kwny Tv siku 1 Hadi wakina Mama wamepanga foleni huko mtaani wanapewa mafunzo ya kulenga shabaha (range) na vijana wadogowadogo kabisa nao wakiwa trained nikajua hapa hakuna kitu.
Mwanzoni wa vita viongozi wa Tigray walikuwa wanasema kuwa hatuwezi shindwa. Maisha yetu yote tumeyatumia kupigana. Jamaa watigray ni seasoned fighters. Bila mtu kumuokoa Aby anaanguka.
Enzi za Meles Zenawi, Ethiopia ilikuwa moja ya taifa lenye nguvu kubwa kijeshi kwenye ukanda wa pembe ya Africa na Africa kwa ujumla, kama mnakumbuka kuna kipindi serikali ya Zenawi (kwa ushawishi wa Marekani) ilituma majeshi yake huko Somalia kuuangusha makundi ya wapiganaji wa kiislamu waliounda mahakama za kidini kuendesha nchi.Huyo Jamaa atakimbia muda sio mrefu.Ile mijamaa ya Tigray imedhamiria kuchukua nchi sasa hivi wameanza kuungwa mkono na makundi mengine.
Umeandika vizuri lakini ukaharibu hapo kwenye hilo li JIWE....yaani nyie wote mlaaniwe ...na huko aliko lazima damu za watu zinafanya kaziNamuonea huruma abbiy Ahmed alianza vizuri ...uongozi Africa ni kitu kigumu Sana...na pia alikuwa ni mtu wa haki ukiwa mtu wa haki hauwezi kudumu mfano magufuli.ghadafi...wenye nguvu duniani hawataki kuona viongozi wapenda haki na wenye maono mazuri wanataka viongozi wababaishaji ukiwa mkweli na mpenda haki ..Kuna raisi alikuwa wa Zambia alikuwa anaitwa Michael sata naye hakudumu ..Kuna mawili la ufe kabla ya wakati au utapata misukosuko ya Vita ...pole Sana abbiy Ahmed nakushauri kimbia mapema maana yake kifo chako hakipo mbali ..kimbia usife kijana...ghadafi aliambiwa akapuuzia matokeo yake Yuko kwenye udongo Sasa hivi ....kimbia ikiwezekana hata kesho...