Ethiopia: Waziri Mkuu Abiy Ahmed atangaza hali ya dharura nchini kote

wewe ni Jinga lingine la kanda ya ziwa....na nyie sukuma Gang bado moto unafukuta...mmetutesa sana nyie!
 
Nadhanu sababu moja ni kuwa kipindi hicho sehemu kubwa ya jeshi ilikuwa inashikwa na maofisa wa kitigray. Baada ya kutoka au tuseme kuwa purged kumetokea ombwe la weledi. Lakini bila shaka kuna sababu nyingi.
 
Bado unaishi zama zile zile zinduka sasa we bwa mdogo.
 
Tuache masihara jamani.
Hivi Magufuli alikuwa mtu wa haki?
Ni nani alimuondoa Magufuli madarakani?
Ni tatizo lake la moyo au Covid au njama za mabeberu?

Kama una akili au mchunguzi utajua!! Ni swala la muda !! Itakuja kujulikana
 
Tigray ni kama wataleban, born to fight! Yaani hata iwe 100 yrs watakufumua tu.

Pole kwa Aby, Kuna mahali utahitaji soft touch na kwingine u need to use mkono wa kijerumani. Afrika ni tofauti na Ulaya, Sasa ukileta mambo ya uongozi wa kimagharibi utaangukia pua tu.

I loved this guy, but his time is out! Akae pembeni wenye mikono migumu waiongoze nchi ya wagumu!
 
wewe ni Jinga lingine la kanda ya ziwa....na nyie sukuma Gang bado moto unafukuta...mmetutesa sana nyie!
Acha ukuda aisee,jiwe alikua na roho mbya Tena Ile kishenzi lkn upuuzi wake usihusishwe na wasukuma.Nchi hii hakuna kabila lenye watu wema,wakarimu na waastarabu Kama wasukuma.
 
Kama una akili au mchunguzi utajua!! Ni swala la muda !! Itakuja kujulikana
Katili tu yule jamaa,full mkabila.Alikua anaenda kuligawa hili Taifa kikabila.Mungu Ni fundi.
 
Nadhanu sababu moja ni kuwa kipindi hicho sehemu kubwa ya jeshi ilikuwa inashikwa na maofisa wa kitigray. Baada ya kutoka au tuseme kuwa purged kumetokea ombwe la weledi. Lakini bila shaka kuna sababu nyingi.
Abiy Ni mpuuzi Sana kawatoa jeshini Watigray kibao,kawatoa kwny kazi za serikalini Watigray,kulikua na wanajeshi wa Ethiopia waliokua Kule Darfur wakaitwa na serikali yao kurudi kwao Ethiopia wakakataa na waliotakiwa kurudi walikua Ni Watigray tu.Abiy Ali demand mpk yule boss wa WHO ambae ni mtigray apigwe chini UN ikakataa.

Mshenzi sana yule jamaa
 
Rais wa Ethiopia yupo kimya kabisa, sijajua kwanini hasemi chochote.
 
Erdogan alifanya haya pia baada ya jaribio la mapinduzi lilofeli.
 
Erdogan alifanya haya pia baada ya jaribio la mapinduzi lilofeli.
Timing ilikua Ina matter sana, sometimes zile story za mapinduzi ya Erdogan naonaga Kama ilipangwa tu ili aweze kuitimiza azma yake ya panga pangua.
 
68% ya Wanajeshi wa Ethiopia Tena wale HIGH PROPHILES Ni Kutoka Tigray. Kwahiyo wakati wa Zenawi Tigray ilikuwa Mstari wa Mbele huko Somalia ndio maana wanaogopwa na ALSHABAB hao jamaa.
 
MeresZenaw naye Ni (mtigrinya) tigray hata uundajinwa jeshi makamanda wengi hasa majenerali walikuwa wakabila lake

Kuwatenganisha watigrinya katika nafas za juu za uongoz n ngumu Sana hao jamaa n kajikabila kadogo Sana lakn kana nguvu za ajabu Sana

N suala la muda TU mh ABIY AHMED ambaye n muoromo kutoka kwa kuuawa ajiuzulu au akimbie nchi

Kumbuka bwana AHMED n MUOROMO kabila lenye watu wengi zaid Ethiopia lakn waoromo wenyewe pia wamemgeuka ndugu Yao hawamtaki wamejiunga na WATIGRAY

SUPPORT kubwa anawategemea waetria ambao nao komapambano n dhaifu Sana kumbuka Eritrea ilikuwa sehemu ya Ethiopia nayo ikajigawa.kutokana na upuuzi huuhuu wa kubaguliwa.katika uongozi
 
Kama ana akili...awaangukie warusi haraka. Kuna mkono wa mabeberu hapo
Si kila sehemu unaunga mkono...
Russia na Marekani lengo lao kuuza silaha kwa Ethiopia labda Mchina awasaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…