Ethiopia: Waziri Mkuu atangaza kuongoza Vikosi katika mapigano


Mkuu unapofanya hayo unaongeza pressure kwenye mtungi wa gesi na huko mbele ukiripuka huwezi kuzuia tena . Nguvu kabisa hazijengi nchi zinazalisha chuki ya ndani kwa ndani na yakianza ndio hayo yaliyotokea Syria .
 

Hapa ndio pa kusoma , hayo yaliyokuwa na yanayotokea Zanzibar yalikuwa hayapo huko bara , lakini kidogo kidogo yameingia na yakikuwa hayo yatokeayo Ethipia yatakuwa ni trailer tu, Mungu atupe uhai
 
This lovely mountainous country with beautiful coffee loving people is under the siege, the devil is tearing this country into pieces
There's nothing wrong with the devils, They should have committed uovu at some point that's why the almighty GOD has allowed Satan's to take over.
They should not fight the devil's rather they should ask for Mercy, so that God will no longer allow the Satan's to take the lead on Ethiopians
 
Wachache Sana wenye uelewa huo.Wengi upeo wao ni SIasa za CCM na Chadema.
 
Huyo waziri aachie ngazi mara moja, shabaha ya waasi ni kujitawala, sasa kitendo cha waziri mkuu kutangaza kuingia mstari wa mbele dhidi ya waasi, anachochea moto ambao hataweza kuuzima.
Waasi gani miaka 27 wametawala wamefanyia nini Ethiopia? kuondolewa madarakani imekuwa shida wao ni wachache lakini wamekuwa wanatawala wa Ethiopia kwa miaka kukosa madaraka imekuwa shida. Hawa kuambiwa madaraka lazima yawe na serikali kuu kwao ndio shida waziri mkuu alitaka kuondoa kujimilisha nchi kwa hawa TPLF wanadhani wao wana haki juu ya wengine. msiwe na support vitu bila kujuwa chanzo ni nini. Vyombo vya usalama kwa miaka vilikuwa chini yao na wakataka kuleta vurugu warudi madarakani. Ni kama siku CCM waondolewe halafu waanzishe uasi kutaka kushika serikali kwa nguvu haiwezekani.
 
Ethiopia ilikuwa bora kipindi kile cha Solomon dynasty, Kina Menelik n.k
 
Mafisi ya Tigray yanaenda kutokomezwa. hawataamini kitakachowakuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…