Mnagombana na marehemu, kawaachia makovu mwili mzima๐๐๐๐ Mimi ndio jiwe Tena jiwe kweri kweri,Kiko wapi ๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnagombana na marehemu, kawaachia makovu mwili mzima๐๐๐๐ Mimi ndio jiwe Tena jiwe kweri kweri,Kiko wapi ๐๐๐๐
Kwani Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika wacha ujinga towa mfano WA huko huko kwenu Sisi Mmetuunganisha (Kwa nguvu) 64 kabla ya hapo kila mmoja kivyake vyake historia ina kawaida ya kujirejeaMimi siwajui hao wa Tigray lakini tujiulize leo wakija wasukuma wakasema wanataka kupewa madaraka zaidi serikali itafanya nini? au hao wa Zenji leo wasema tunataka nguvu zaidi watafanywa nini? Tigray ni sehemu ya Ethiopia tukianza kuunga mkono vikundi ndani ya nchi hata kwetu yanaweza kutufika nashangaa watu wanaounga mkono uasi ndani ya nchi. Hii issue imechochewa na nchi za nje pamoja na Egypt na issue yote ni haya maji ya Nile.
๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Mtavaa jezi za kijani mpaka mauti, nimesahau hata huko mmegawanyika Simba na Yanga nasikia kina Kikwajuni mmewauwa. Mtajikomboa vipi mmeshakuwa mnapenda vya upande wa pili.Kwani Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika wacha ujinga towa mfano WA huko huko kwenu Sisi Mmetuunganisha (Kwa nguvu) 64 kabla ya hapo kila mmoja kivyake vyake historia ina kawaida ya kujirejea
Chokochoko zote za huku mnaleta nyinyi NI nyinyi ndio miaka yote mnaingilia chaguzi zetu huru mnavamia kijeshi msifikit mtaendelea maisha ujinga wenu huu[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mtavaa jezi za kijani mpaka mauti, nimesahau hata huko mmegawanyika Simba na Yanga nasikia kina Kikwajuni mmewauwa. Mtajikomboa vipi mmeshakuwa mnapenda vya upande wa pili.
mjikomboe kimawazo kwanza mnapenda vya kwetu halafu unalalamika, sisi waungwana mmejazana toka Dar mpaka Mwanza na mmetoboa kwenu huko mmeshindwa sasa mnalalamika nini? hatuna shida na nyinyi kaeni tu Tanzania huru tunaweza kuwachukuwa wote tukagawa mkoa mmoja tu na mkaishi vizuri tu.Chokochoko zote za huku mnaleta nyinyi NI nyinyi ndio miaka yote mnaingilia chaguzi zetu huru mnavamia kijeshi msifikit mtaendelea maisha ujinga wenu huu
Unajuwa shida yenu mnaishi na history, history iliyochakachuliwa haina ukweli kisiwa kama mkoa mmoja mdogo kwetu lakini mnajidanganya kuwa na bunge, baraza la mawaziri sijui makatibu wakati mbunge mmoja tu angeweza kuwakilisha lakini kila mtaa mbunge na sijui wa kuu wa mikoa sasa miko ipi? nchi unatembea mpaka saa 4 asubuhi umemaliza. punguzeni mbwembwe mtaendelea huo ni mkoa mmoja tu kwetu mngekuwa na mayor tu na madiwani. amkeni kwenye ndoto.Chokochoko zote za huku mnaleta nyinyi NI nyinyi ndio miaka yote mnaingilia chaguzi zetu huru mnavamia kijeshi msifikit mtaendelea maisha ujinga wenu huu
Wacha upumbavu vitabu vipi soma historia ya ZANZIBAR toka angalau 1800 itatujua Sisi tulikua Nani kuna methali ya wahenga isemayo ZUMARI LIKIPULIZWA ZANZIBAR WANACHEZA WALIO MAZIWA MAKUU tafuta nini maana ya msemo huoUnajuwa shida yenu mnaishi na history, history iliyochakachuliwa haina ukweli kisiwa kama mkoa mmoja mdogo kwetu lakini mnajidanganya kuwa na bunge, baraza la mawaziri sijui makatibu wakati mbunge mmoja tu angeweza kuwakilisha lakini kila mtaa mbunge na sijui wa kuu wa mikoa sasa miko ipi? nchi unatembea mpaka saa 4 asubuhi umemaliza. punguzeni mbwembwe mtaendelea huo ni mkoa mmoja tu kwetu mngekuwa na mayor tu na madiwani. amkeni kwenye ndoto.
Kwani jiwe hua linakufa?Mnagombana na marehemu, kawaachia makovu mwili mzima
Sasa si ulikuwa unatawaliwa wewe kujitawala huwezi na wala hutajitawala, Zanzibar walikuwa wanapewa watawala kama zawadi tu ya birthday nyinyi mlijitawala lini. nakwambia shukuru tukawachukuwa vingenevyo mngekulana vichwa kila siku maana kinchi kidogo mnapaishana na maadui mitaani tu utajificha wapi. mshukuru kidogo amani yenu sababu yetu.Wacha upumbavu vitabu vipi soma historia ya ZANZIBAR toka angalau 1800 itatujua Sisi tulikua Nani kuna methali ya wahenga isemayo ZUMARI LIKIPULIZWA ZANZIBAR WANACHEZA WALIO MAZIWA MAKUU tafuta nini maana ya msemo huo
waegypt chini ya Alsisi wanamnyonya kichuri sasa, huku big brother akichungulia kwa mbaali na kuangua kicheko wanajangwa wanapotoana roho......sisi ngoja tukajilie vitoto vya kihabeshi vingine tuvilete hapa tuwe tunaviogesha maana havijuagi kuosha ile kitu...
Bwana mdogo Abiy ameiendea kasi siasa ya dunia inamtoa jasho sasa....haelewi why its happening so easy and they are fucking him now , ajiulize tu, vita iko Yemeni kwa mashemeji mahausi lakini saudia haikatizi na ni pua na mdomo pale wakina MBS wanakula ngamia tu husikii hata kombora kwa bahati mbaya...
Hahahaha Paul is in south and the sleeping giant still sleeping, Mozambique ameshatangaza bei ya vitalu vya gas dip sea....another scramble for Africa, dogo janja ameshatumwa na Brother K kuanzisha dialogue for south businesss and brother Tony already in attacking box hahahaha just after the whistle..
Karibuni sana uhabeshini tunywe kahawa na kujilia vitoto vya kihabeshi na vingine vya kieritrea japo wale wenzangu wala ndogo dah inabidi uwe na pressure washer.....japo kubwa zao kama ndogo tu maana haviachii achii kama madada zetu magari ya mkaa....
Abiy kwenda vitani ni kuweka maisha yake hatarini.Vikosi vya waasi vyazidi kusogea kuelekea Addis Ababa.
Hivi sasa wapo kwenye kitongoji kiitwacho Debre Sinna au Mlima Sinai bado wakiwa ndani ya jimbo au mkoa wa Amhara.
Waziri mkuu Abiy bado hajajitokeza kuongoza mapambano kama alivoahidi.
Wanamgambo wa Tigra wanauliza wapi Abiy?
Demeke Mekonnen Hassen (Amharic: แฐแแ แแฎแแ; born 27 September 1963) is an Ethiopian politician, and the current Deputy Prime Minister of Ethiopia and Minister of Foreign Affairs. He is also the Vice-President of Prosperity Party. He previously served as Chairman of the ADP (Amhara Democratic Party) and Deputy Chair of EPRDF until dissolution of the parties on 1 December 2019.24 November 2021 โ While Abiy is away, Deputy Prime Minister Demeke Mekonnen Hassen would take charge of routine government business
Sio kama kina Lisu wamepakatwa huko afu eti wanabweka ๐๐
Sijui ni kwanini anahatarisha maisha yake nafikiri anahitajika kukimbia mapema vinginevyo atakufa kijana...waasi wananguvu ya ziada ya ziada ambayo haijulikani imetoka wapi ....lakini hakustahili kutamka hayo maneno coz inajenga picha kuwa Yuko kwenye shock..maskini abbiy Ahmed hakujua Kama ingekuwa hivi...pia alipaswa kujua kuwa kwa nature ya Ethiopia kutokana kuwa na shida ya ajira chokochoko yeyote inaweza kuzaa Vita vya mda mrefu coz watu wamekata tamaa na maisha...so hawaogopi hata kifo..kwa Sasa Hana option Kama anataka kuishi hapa duniani akimbie ..Kama anataka kufa kijana aendelee kubaki ikulu...