Ethiopia: Waziri Mkuu atangaza kuongoza Vikosi katika mapigano

Ethiopia: Waziri Mkuu atangaza kuongoza Vikosi katika mapigano

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Nilijua tu MATAGA uko kazini,umeshindwa kuvumilia imebidi uonyesha true colour yako.Nilikua nashangaa huyu mtu ana discuss vipi vitu asivyovijua πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Wewe jadili ya Maji na umeme ya Tigray yanakuhusu nini. Mataga ndio nini ki tigray hicho au? Hakuna la kunishinda nikiona mtu anasimamia uchama naanza kumuelewa huwa sibishani bila facts. Mimi msimamo wangu siungi mkono ujinga wowote ndani ya nchi wenye kuleta hatari ya amani ndio maana siungi uasi Ethiopia na nchi nyingine yoyote. Sasa kama unandoto hizo nadhani una haki ya kuota ujinga huu hautatokea E.A
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Nilijua tu MATAGA uko kazini,umeshindwa kuvumilia imebidi uonyesha true colour yako.Nilikua nashangaa huyu mtu ana discuss vipi vitu asivyovijua πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Nenda kasome message zango zote nyuma nimekuwa na ishutumu serikali kwa asilimia kubwa nikiona wanakosa ila penye mazuri nasifia kwa hiyo na msimamo lakini hauna itikadi yoyote history yangu imo humu JF
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Sasa unawatisha ama nini?

Nawe fanya ya kina Abiy ili wakuonyeshe.

Sitetei wapinzani wapumbavu
Na pia sitetei viongozi ambao ni wapumbavu wanaofanya ukatili wakidhani watu wataogopa Madaraka Yao.

Unachopaswa kushauri ni kushauri Viongozi wasionee watu, wasiue watu, wasinyanyase watu, wasilete ubaguzi wa kikabila na Kidini.

Na sio mikwala Mbuzi ambayo hutolewa na wapumbavu.
Wewe unaishi Tanzania? JPM aliwafanya nini? panya wote walijificha mwenyeketi wao tuandamane akajikuta yuko peke yake. Maalim Seif alikuwa ana ushawishi mkubwa kwao hakutoka hata mtu mmoja. Kaja Mama kambambika kesi mwenyekiti sijui mwezi wa ngapi yuko ndani kimyaa wote wako busy mitandaoni. kusimamia haki ujasiri sio kelele nyuma ya keyboard. Na yule mzee sikuwahi kumpenda ila leo ningependa angekuwa hai maana alijuwa kuwanyosha. Mama alitaka kuanza na upole wakamwambia Mama watakupanda kichwani matokeo tumeyaona. wakati mwingine tunahitaji watu makatili ili kunyoka.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Sasa unawatisha ama nini?

Nawe fanya ya kina Abiy ili wakuonyeshe.

Sitetei wapinzani wapumbavu
Na pia sitetei viongozi ambao ni wapumbavu wanaofanya ukatili wakidhani watu wataogopa Madaraka Yao.

Unachopaswa kushauri ni kushauri Viongozi wasionee watu, wasiue watu, wasinyanyase watu, wasilete ubaguzi wa kikabila na Kidini.

Na sio mikwala Mbuzi ambayo hutolewa na wapumbavu.
Mama tu anawatosha mimi niwatishe na nini?
 
Kwani yule mbabe wa chato yuko wapi siku hizi?sijamsikia siku nyingi sana.,hahah.
Nilikuwa natetea sana haki hasa za wapinzani lakini unaona ngozi ya hawa wapinzani JPM alikuwa sahihi leo kidogo naanza kumuelewa kwanini alikuwa anafanya aliyoyafanya. Mungu amlaza mahali pema JPM
 
Nilikuwa natetea sana haki hasa za wapinzani lakini unaona ngozi ya hawa wapinzani JPM alikuwa sahihi leo kidogo naanza kumuelewa kwanini alikuwa anafanya aliyoyafanya. Mungu amlaza mahali pema JPM
Upinzani wa Tanzania unaufananisha na TPLF?
 
Msisahau Yule Ni Kanali
Sio raia ingawa wazo la kwenda Front sio zuri attention itahamia Kwake badala ya kupanga vita...
Kweli ametokea jeshini ila kwa sasa ni Rais,anatakiwa ajikite kwenye mipango ya kuondoa waasi na namna ya utekelezaji sio yeye mwenyewe kuwa mtekelezaji.
 
Kweli kijana anatapatapa..mwenzake Bashar al Assad alikua anaenda front kuwatia nguvu vijana wake with careful monitoring ya Iranian na Russian commandos & equipment. Na asingeweza kusavaivu bila backing ya kueleweka ya hao jamaa. Abiy amechelewa kusoma alama za nyakati.
 
Nilikuwa natetea sana haki hasa za wapinzani lakini unaona ngozi ya hawa wapinzani JPM alikuwa sahihi leo kidogo naanza kumuelewa kwanini alikuwa anafanya aliyoyafanya. Mungu amlaza mahali pema JPM
Kwa hio ubabe uko wapi Sasa?
 
Yule yuko chini ya ardhi lakini mkisikia jina lake tu mnaingia kwenye mapango mnaona kama atafufuka.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ amewakuta watoto wa mjini na amewaacha wako wanadunda tu.
 
Demonstration of Eritrean & Ethipian Communities in London, UK recorded on November 21st 2021 for Horn of Africa TV.

Source : Horn of Africa TV
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ amewakuta watoto wa mjini na amewaacha wako wanadunda tu.
Watoto wa mjini? mikia nyuma mpaka leo mnauguza vidonda. Mtoto gani wa mjini katawala Tanzania hakuna na wala hakutakuwa na sio Rais tu hata mawaziri hakuna.
 
Makonda tu aliwakomesha eti watoto wa mjini 🀣 🀣 🀣
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Mimi ndio jiwe Tena jiwe kweri kweri,Kiko wapi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Jamaa alikua anajisemesha eti 'Hivi nisipokuwepo Tz hii itakuaje,miradi hii itaishaje?',kama vile Tz haikuwahi kuwepo kabla yake.

Maisha yanaendelea,watu wanakunywa bia hawana hata habari nae πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Back
Top Bottom