Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Abiy should bring back the Eritreans
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The devil will never win.........unconquered Ethiopia..............chant down babylonThis lovely mountainous country with beautiful coffee loving people is under the siege, the devil is tearing this country into pieces
Sio kama kina Lisu wamepakatwa huko afu eti wanabweka 😄😄ukoo wenu mbona ni ukoo wa mashoga,nilimwona Babu yako anapakatwa pia,kwa hiyo usishangae na wewe soon ukapakwa mafuta.
Sio kama kina Lisu wamepakatwa huko afu eti wanabweka 😄😄ukoo wenu mbona ni ukoo wa mashoga,nilimwona Babu yako anapakatwa pia,kwa hiyo usishangae na wewe soon ukapakwa mafuta.
"My friend!"Ukiona hivyo ujue kaishiwa mbinu. My friend Ghadafi died in front!
Ushauri tu, awaachie madaraka Hao waasi maana soon watamhasi...
Westerners are devils!
Huu muungano wao hauwezi kudumu baada ya kumwangushaJamaa wa TPLF wapo mji wa Shewa Robit ambao ni kama maili 125 (kilomita 202) kutoka mji mkuu wa Addis Ababa.
Ni kama Dar-es-Salaam kwenda Morogoro wapita kidogo.
Wamsubiria bwana Abiy pale.
Ni kama vile mbinu wa wataliban ndizo zatumiwa na hawa jamaa wa TPLF.
Sio mbaya,atoke kwanza mengine yatafuata.Huu muungano wao hauwezi kudumu baada ya kumwangusha
Hujui na yeye kajipanga vipi hadi kasema hayo...........hapa bado kuna jamaa wa east na west acha kinuke itaonekana nani yupo na watu gani............jamaa nae alishakua anajiandaa muda kwa vitaSijui ni kwanini anahatarisha maisha yake nafikiri anahitajika kukimbia mapema vinginevyo atakufa kijana...waasi wananguvu ya ziada ya ziada ambayo haijulikani imetoka wapi ....lakini hakustahili kutamka hayo maneno coz inajenga picha kuwa Yuko kwenye shock..maskini abbiy Ahmed hakujua Kama ingekuwa hivi...pia alipaswa kujua kuwa kwa nature ya Ethiopia kutokana kuwa na shida ya ajira chokochoko yeyote inaweza kuzaa Vita vya mda mrefu coz watu wamekata tamaa na maisha...so hawaogopi hata kifo..kwa Sasa Hana option Kama anataka kuishi hapa duniani akimbie ..Kama anataka kufa kijana aendelee kubaki ikulu...
Anapakatwa pamoja na baba yako na mama yakoSio kama kina Lisu wamepakatwa huko afu eti wanabweka 😄😄
Lisu anapelekewa moto na Amsterdam huko Ulaya afu anatoka nati zimelegea huko eti anakuja kugombea Urais😂😂😂 nani atampa Urais?Anapakatwa pamoja na baba yako na mama yako
Mimi siwajui hao wa Tigray lakini tujiulize leo wakija wasukuma wakasema wanataka kupewa madaraka zaidi serikali itafanya nini? au hao wa Zenji leo wasema tunataka nguvu zaidi watafanywa nini? Tigray ni sehemu ya Ethiopia tukianza kuunga mkono vikundi ndani ya nchi hata kwetu yanaweza kutufika nashangaa watu wanaounga mkono uasi ndani ya nchi. Hii issue imechochewa na nchi za nje pamoja na Egypt na issue yote ni haya maji ya Nile.Wao ndio walimtuma aanze kuwaua watigray hovyo hivyo?
Wa Ethiopia wanaingizwa kwenye chaka hawatajuwa pa kutokea, haya makundi yana egenda zao na sponsor wao wa nje wana agenda zao wakimtoa yule nawapa miaka 20 watapigana kama yale ya kina Libya iko siku watamkumbuka huyu wanayemuona mbaya. watu wanatumika tu kwa faida ya watu wa chache. Likitokea Ethiopia na hata huku kwetu kuna watu watadhani kuingia madarakani tufanye kama waliyofanya wa Ethiopia hili jambo ni hatari halina maslahi na sisi wala nchi jirani kama Kenya tulitakiwa tukalizime hili sikubaliani kabisa kutokea kikundi cha uasi ndani ya nchi na chuki zangu zote kwa CCM lakini kuwaondoa kwa njia hizi hapana Big No.Huu muungano wao hauwezi kudumu baada ya kumwangusha
Angekua hauwezi asingeuchochea........acha tuone mambo yanavyoendaHuyo waziri aachie ngazi mara moja, shabaha ya waasi ni kujitawala, sasa kitendo cha waziri mkuu kutangaza kuingia mstari wa mbele dhidi ya waasi, anachochea moto ambao hataweza kuuzima.
Anajipeleka kiblaWakati vita ya mwaka mzima kati ya Serikali ya Ethiopia na Vikosi vya TPLF ikikaribia Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Addis Ababa, Waziri Mkuu Abiy Ahmed amesema ataongoza Vikosi vya Usalama.
TPLF imeunda Muungano na vikundi vingine vya waasi ikiwemo Jeshi la Ukombozi la Oromo (OLA) kukabiliana na Serikali. Wajumbe Maalum kutoka Umoja wa Afrika (AU) na Marekani wamejaribu kusuluhisha mvutano huo lakini kumekuwa na maendeleo madogo hadi sasa.
Maelfu ya watu wanakadiriwa kupoteza maisha katika vita hiyo iliyolazimu Mamilioni kukimbia makazi yao na wengine wengi wakikabiliwa na njaa.
===
Ethiopia’s Prime Minister Abiy Ahmed says he will now lead his troops “from the battle front” as the year-long conflict moves closer to the capital, Addis Ababa.
"Starting tomorrow, I will mobilise to the front to lead the defence forces," Mr Abiy, said in a statement posted on Twitter late on Monday.
"Those who want to be among the Ethiopian children, who will be hailed by history, rise up for your country today. Let's meet at the front," he added.
It came after the ruling Prosperity Party's executive committee met on Monday to discuss the war. The defence minister told local media after the meeting that security forces would be embarking on a “different action” over the conflict.
Since last November, the government and rebel Tigray People’s Liberation Front (TPLF)'s forces have been engaged in a war that started in Tigray and spread into neighbouring Amhara and Afar regions.
The TPLF has formed an alliance with other insurgent groups including the Oromo Liberation Army (OLA) as the conflict has drawn nearer to the capital.
Special envoys from the African Union and the US have been trying to broker a ceasefire in recent days but there has been little progress so far.
The conflict has killed thousands of people, forced millions from their homes and hundreds of thousands others are facing famine.
Source: BBC
PM amepaniki, aende tu kimkute kilichomkuta Idriss Deby.Sio kazi yake kwenda mstari wa mbele, jamaa inabidi atulize wenge kwa sasa.