Walishaongeaa nadhanihawakuelewanaaaaKama wana fedha za kutosha, waongee na Eritrea, awakatie kipande.
Waweke mzigo wa maana, wanaweza wakapata.Walishaongeaa nadhanihawakuelewanaaaa
Wale nao wazembe waliipoteza Eritrea kifalaEthiopia huwa inahesabika kama taifa lenye nguvu na mojawapo la himya za kale zaidi katika bara la Africa, kinachonishangaza ni wao kukosa upenyo wa baharini kuwawezesha kuwa na bandari yao tena wakiwa karibu kabisa na bahari za Hindi na Red Sea.
Karne zote hizo wamishindwaje kumpata mnyonge hata mmoja katika ya Somalia, Somaliland, Djibouti na Eritrea wamdunde awape upenyo kufika baharini wawe na bandari yao wenyewe!
View attachment 3224708
Wana bandari upande huo?iLa kwa hapa africa,DRC waliforce sana mpaka kuwa na bandari,ingawaje hawana ardhi nzuri inayoruhusu usafiri wa barabaraView attachment 3224796
Hao wazembe sana, walikubaliji kirahisi hivyo! Bora wangepigana miaka mia au hata wangewafidia hao Eritrea upande mwingine wa nchi kama upande wa Ethiopia lakini wapate uchochoro wa bahariniEthiopia waliipoteza Eritrea. Ndio ilikuwa na bandari yao.
Eritreans walikuwa wanapigania kipande cha ardhi ambacho ni asili yao. Kwa jinsi Ethiopia ilivyo usingewachukua Waeritrea uwape ardhi ya watu wengine mfano Waoromo. Ethiopia kila jamii inaichukia nyingine ndio maana vita haiishi. Kila kabila linajitawala na lina kikundi cha wanamgambo wakishindwana na Federal government wanapigana na jeshi la nchi.Hao wazembe sana, walikubaliji kirahisi hivyo! Bora wangepigana miaka mia au hata wangewafidia hao Eritrea upande mwingine wa nchi kama upande wa Ethiopia lakini wapate uchochoro wa baharini