spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,226
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapeleka Ethiopia kwa Wahabeshi au Somalia?Wamejiwekeza kwenye usafirishaji wa miraa zaidi kwa sasa....😀😀
Safi sana
Ni mafuriko...
Wanapeleka Ethiopia kwa Wahabeshi au Somalia?
Hii week nashuhudia mabeberu wengi sana moshi na arusha
Somalia wamepigwa stop kwa sababu wataeneza coronaWanapeleka Ethiopia kwa Wahabeshi au Somalia?
Na KQ isifunguliwe hivyo hivyo ili mtalii yeyote akienda Kenya bc iwe imekula kwakeMdogo mdogo kenya watajikuta wamebaki na watalii kutoka somalia tu kwenda kutalii mashamba ya mirungi