TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] endeleeni kuuguza kovid, watu wanapiga hela. Nyie mmeingiza wangapi wiki hii.700 ndio inakuwashawasha kama mtoto amenunuliwa toy first time?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] endeleeni kuuguza kovid, watu wanapiga hela. Nyie mmeingiza wangapi wiki hii.700 ndio inakuwashawasha kama mtoto amenunuliwa toy first time?
Chadema na mangekimambi Baba mmoja mama mmoja, hawaongelei kabisa habari nzuri wao wanazipamba habari mbaya tu, chadema walikuja na ushauri wao kuhusu Corona eti pesa zinazojenga mradi wa umeme rufiji zipunguzwe zitumike kupambana na korona, mtihani kweli tumshukuru mungu hii nchi ingekuwa mikononi mwa chadema cjui tungekuwa tuna hali gani Sisi !! Hii Corona ndio nimejifunza kumbe bora ibaki hiyo CCM kasoro tulikua tunaona haifai.Ujue ha CHADEMA hawapendi kabisa habari Kama hizi wanafikiri ni kampeni kwa magufuli.
Wameshuka wangapi?Acha Ungese wewe, hivi unajua JNIA na ZANZIBAR wameshuka wangapi.
Mnaleta Unyang'au ngojeni tuwanyamazishe. Watalii wote watabadili routes. Mashirika Mengi yataanza kuja straightforward Tanzania badala ya kupitia kwenyu mmejaa Jangwa nani aje.
700Wameshuka wangapi?
Idadi Kwakwel cna ila ndege za Qatar na Ethiopia zinatua kila ckuWameshuka wangapi?
KabisaaaYan hiii mbungi lote linalochezwa kenya na tz ni sababu ya hawa watalii.. safi sana waendelee kumiminika na mtu yoyote atakaezuia mirija yetu ya uchumi tunalala nae mbele
Ha!700 ndio inakuwashawasha kama mtoto amenunuliwa toy first time?
Uchumi wao wenyewe wa kuunga unga halafu eti wanaiga wazungu kuweka masharti yani wakenya zero brain kweli! Yani wanajiona wana uwezo mkubwa hapa EA na pia wanajiona na wao wazungu, utumwa wa akili mbaya sana.Acha jamaa waendelee kukaa ndani kama utumbo na kufungua anga kwa mafungu.[emoji16]!
Wewe kila kitu unaingiza uchama aagrrhUjue ha CHADEMA hawapendi kabisa habari Kama hizi wanafikiri ni kampeni kwa magufuli.
Viva Tanzania viva! Aluta continua!
Kwenu wamekuja wangapi?700 ndio inakuwashawasha kama mtoto amenunuliwa toy first time?
Sielewi mbwembwe zote hizi ni za nini. Kelele zote hizi kisa watalii 700 tu? [emoji1] Point ni kwamba watalii wametua kwa mara ya kwanza Tz? Au mnataka kutuaminisha kwamba watalii wakija Tz itawazuia watalii kuja Kenya, UG, Rw au nchi yeyote nyingine? 😕
Poyeee kama nimekukela mumie. Ila ndio ukweli.Wewe kila kitu unaingiza uchama aagrrh
Hivi Ban Ni kutua tu au mpaka Kuruka kwenye anga letu?