spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,226
- Thread starter
- #61
Na hawataenda kweli, ndege zimeshaswitch Airports kwa hiyo connecting Airport sio JKIA tena ni Either Bole, Kigali au kuja Straight JNIA au KIAKenya Kuna Corona kibao watalii hawawezi kuja huko!! Kenya ni ya Saba hapa Afrika kwa kuwa na wagonjwa wengi wa covid 19! Halafu bila aibu inazuia ndege za Tz kutua Kenya!! Nani asiyejua kuwa kitovu Cha Corona East Africa Ni Kenya??