Ethiopian Airlines, Gulfstream, Crystal, Qatar Airways na KLM zashusha Watalii zaidi ya 700 KIA ndani ya Masaa 24

Na ukichukulia yale mapori ya akiba sasa hivi wanyama wanazaliana kwa kasi ya Magufuli,majirani zetu watabakia kuisoma namba...
 
Ukivuka border uingie kenya automatically unahesabika kuwa ni mtalii hata kama hujaenda kutalii [emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu mbona hujazungumzia mapato ya utalii!
Mapato haikuwa topic ya mazungumzo
 
ATCL haipo kazi?
Inamatatizo ya kupoteza kumbu kumbu ? , Au ndio njaa inakusumbua. Mada watalii ukauliza je Zanzibar wangapi ndio nikakwambia idadi maalum cna ila ndege za QATAR na ETHIOPIA kila cku ckuhizi zinatua tofauti na zaman inapita wiki ndege ya kimataifa hujaiona ,sasa wewe unasema ATCL kama tukizungumzia na ndege za ndani kibao tu
 
Nauli zetu tulishalipa KQ inakuwaje? Macharia alisema ameshamalizana na waziri wa Bongo..mbona chombo hairuki?
Mbona hukulipa ATCL? Ina maana unaiamini KQ kuliko gongo la konyagi ATCL πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilifikiri ATCL ni international ama bado mkulima anawatisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona hukulipa ATCL? Ina maana unaiamini KQ kuliko gongo la konyagi ATCL [emoji23][emoji23]

Nilifikiri ATCL ni international ama bado mkulima anawatisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Usihamishe mada, mada kuu iliyoko mezani watalii sasa kama umeshindwa huku unatakiwa useme tuachane na habari hiyo tujadili ATCL unayotaka lakini habali ya kuchangana mada hapa usilete ,mada TANZANIA hamna korona watalii wazidi kumiminika mulikua munatuombea mabaya wazi wazi kupitia vyombo vyenu vya habari ,na mpaka leo hii ninyi munasema TANZANIA tunajifia kama kuku Kwa korona mabwana zenu wanasema hamna korona TANZANIA sasa hapa ndio mulipo umbuka na chuki zenu sasa hivi Watanzania adui wetu tushamjua maana mulikua mmejificha kama wema sasa ngoja muisome namba
 
Mbona hukulipa ATCL? Ina maana unaiamini KQ kuliko gongo la konyagi ATCL πŸ˜‚πŸ˜‚

Nilifikiri ATCL ni international ama bado mkulima anawatisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tatizo ATCL haina route ya DAR -NBO, ndio maana nikakata tiketi ya KQ. Tuliambiwa within 24hrs tutasafiri bila shida..sasa nashangaa siku zinaenda tu na nauli zetu haturuidishiwi inakuwaje?
 
Tatizo ATCL haina route ya DAR -NBO, ndio maana nikakata tiketi ya KQ. Tuliambiwa within 24hrs tutasafiri bila shida..sasa nashangaa siku zinaenda tu na nauli zetu haturuidishiwi inakuwaje?
Iko na Dar - Jorburg' ?
ATCL iko na route ya Dar- Bole, Ethiopia?
 
Iko na Dar - Jorburg' ?

ATCL iko na route ya Dar- Bole, Ethiopia?

Mimi nimekata tiketi ya Dar- nairobi.. safari ilikuwa tarehe 1, sasa hadi leo safari hamna na nauli zetu hatujarudishiwa. Ndio KQ matapeli ama nini?
 
NA BADO WATALII WENGINE ZAIDI YA 3000 WATASHUKIA CHATO AIRPORT LEO HIIπŸ˜›πŸ˜›πŸ‘΄πŸ‘΄
 
MK254 njoo unaitwa huku!!
MK 254 kazi yake kufurahia mabeberu wa kizungu wachache wanaomiliki sehemu kubwa ya ardhi na viwanda vya kenya. Kuna waafrika wachache pia wanaomiliki ardhi na viwanda huko. Wakenya walikuwa wanaota ndoto za mchana kuwa chini ya jumuiya ya East Africa wataweza kujaTanzania na kumiliki ardhi!! Tukasema nooooo!!!!!
 
Kenya Kuna Corona kibao watalii hawawezi kuja huko!! Kenya ni ya Saba hapa Afrika kwa kuwa na wagonjwa wengi wa covid 19! Halafu bila aibu inazuia ndege za Tz kutua Kenya!! Nani asiyejua kuwa kitovu Cha Corona East Africa Ni Kenya??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…