Chadema na mangekimambi Baba mmoja mama mmoja, hawaongelei kabisa habari nzuri wao wanazipamba habari mbaya tu, chadema walikuja na ushauri wao kuhusu Corona eti pesa zinazojenga mradi wa umeme rufiji zipunguzwe zitumike kupambana na korona, mtihani kweli tumshukuru mungu hii nchi ingekuwa mikononi mwa chadema cjui tungekuwa tuna hali gani Sisi !! Hii Corona ndio nimejifunza kumbe bora ibaki hiyo CCM kasoro tulikua tunaona haifai.