Acha urongo ww. Japo mnaongoza kwa ukanda huu wa afrika mashariki aeromexico na Japan airlines bado kutua JKIAAisee dah maegesho yetu yamejaaa midege, hivi karibuni sijui tutaegesha majumbani kwetu ama vipi[emoji2] [emoji109] [emoji196] View attachment 598117
Kwa hilo nakuunga mkonoEthiopian wana ndege za maana, sema hapo uwanjani kwao ni kama upo jela vile vurugu tupu
Kwa hiyo mkuu zinakuja huku bongo ukifanya comparisson na magari utazipa level ya magari ya goms au rangi tatu si ndio?Sio Ethiopia tu.ndege nyingi za kwenda Kwa wazungu zinakuwa Nzuri ukilinganisha na ndege hizo hizo zinazoenda nchi za Africa.mfano emirate inayoenda New York from Dubai ni tofauti inayotoka Dubai kwenda Tanzania.
Bombardier [emoji2] [emoji2]ethiopian ana midude ya maana kutoka ADDIS kuelekea DUNIANI. Huku analeta zilezilizochoka, ADDIS - DULLES WASHINGTON (kupitia DUBLIN) ana ndege matata sana. Sio usshuzi wenu wa ajabu ajabu hapo jnia