Ethiopian Airlines vs Kenya Airlines

Ethiopian Airlines vs Kenya Airlines

Aisee dah maegesho yetu yamejaaa midege, hivi karibuni sijui tutaegesha majumbani kwetu ama vipi[emoji2] [emoji109] [emoji196] View attachment 598117
Acha urongo ww. Japo mnaongoza kwa ukanda huu wa afrika mashariki aeromexico na Japan airlines bado kutua JKIA
 
Kuna hili lidreamliner tumelizindua hivi maajuzi kwa ajili ya utalii, kupitia magical Kenya
s7mdkK3h.jpg

x7tRtXeh.jpg
9vsgNW4h.jpg
nMM4rGJh.jpg
o3RKABvh.jpg

Wamaasai wetu walikata mauno hatari Sana kwenye uzinduzi huu..[emoji2]
bUOf8Roh.jpg
 
Karibuni nyote tukatize hadi schipol, kulee uholanzi
55330_1494327480.jpg

Na hongkong baby
33530680503_3987ffc3f4_b.jpg

Dah bila kuisahau Mumbai [emoji16]
18160495_1865914933734376_69944762186072064_n.jpg
 
Ethiopian Airways binafsi ni wazuri mno,ila pia panua wigo wako angalia pia SAA nao ni wazuri pamoja na kukabiliwa na changamoto nyingi mno wakati huu.
 
Lidreamliner letu lingine kwa jina maasai Mara, huwa naliita funga kazi
1480179865.JPG

5Y-KZC.JPG
14482031_1669892443323138_8311061377628241920_n.jpg
 
Captain wetu Ahmad al Nabhan na first officer Hussein zidini kutwanga selfie tuu[emoji3] [emoji125]
14052562_281396398919499_542439492_n.jpg

14072867_1142779119118833_809127741_n.jpg
 
Manouvre noma Sana toka kwa marubani wetu duhh
CtbodGZWIAAVjsv.jpeg

Midege imejaa jamani, lazma tuyaegeshe majumbani tu[emoji3] [emoji109]
14487202_1816703271898498_6452200184754470912_n.jpg
14350894_168435470227917_1596875886_n.jpg
 
Sio Ethiopia tu.ndege nyingi za kwenda Kwa wazungu zinakuwa Nzuri ukilinganisha na ndege hizo hizo zinazoenda nchi za Africa.mfano emirate inayoenda New York from Dubai ni tofauti inayotoka Dubai kwenda Tanzania.
Kwa hiyo mkuu zinakuja huku bongo ukifanya comparisson na magari utazipa level ya magari ya goms au rangi tatu si ndio?
 
Duh mkuu Ethiopia juzi kati wali nunua Boeing 10. 3kati izo tayari zipo angan ila saba ndio order ...hapo ni kutudhibitishia kuwa ni magwiji
 
Frequent flyer here...KQ only one bad experience when my luggage was put on a different flight...No other complaints...Only other minor detail is the red uniform...hope they change it to other executive colors...Ethiopian airlines is ok...The airport situation lets them down...
 
Bila kuwasahau kq cargo wanaotamba Sana hapa Africa na kukua kwa kasi zaidi [emoji109][emoji115]
ovedwz7tcbgtq2588126b055458.jpg
KQ%2Bcargo.jpg
979c4612105403.5625763ab6129.jpg
e4a9bf12105403.5625763c58eff.jpg
5c839b12105403.5625763c17fba.jpg
 
ethiopian ana midude ya maana kutoka ADDIS kuelekea DUNIANI. Huku analeta zilezilizochoka, ADDIS - DULLES WASHINGTON (kupitia DUBLIN) ana ndege matata sana. Sio usshuzi wenu wa ajabu ajabu hapo jnia
Bombardier [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom