Tunalishugulikia hilo,sio issue, ila mbona totoz wazuri tuu, kule west Africa Nigeria Ghana na Senegal tunafanya vyema Sana na wanatukubali kinyama, tatizo lenu waswahili mnataka hostess wetu wawape namba ama sijui massage., bila shaka mnamkumbuka yule mwenzenu alivofanya ndani ya emirates kule Dubai, bado yuko cell huko, picha ntazileta humu...[emoji3] [emoji191]1academ tuseme Kenya mmekosa kabisa ma-air hostess wazuri? Maana wengi wamekomaa sura na wana attitude sana
Na upite huku utoe mchango wako mkuu1academ tuseme Kenya mmekosa kabisa ma-air hostess wazuri? Maana wengi wamekomaa sura na wana attitude sana
Rainbow kumaanisha mwatoa choo/tope?Rainbow lighting ndani ya dreamliner zetu hatari Sana
View attachment 598329
karibuni simba lounge pia ndani ya jkia
View attachment 598331
Si ni Michael Joseph the CEO??Hehe Sebastian mikosz a Kenyan? Ngunze and naikuni yes..
Michael joseph is the chairman of the board of directors, not involved in the day to day operations of the company, ceo ni mikosz the polish guy.Si ni Michael Joseph the CEO??
Sio Ethiopia tu.ndege nyingi za kwenda Kwa wazungu zinakuwa Nzuri ukilinganisha na ndege hizo hizo zinazoenda nchi za Africa.mfano emirate inayoenda New York from Dubai ni tofauti inayotoka Dubai kwenda Tanzania.
Kwa international airlines cdhani kama wanafanya hiv maana emirates hutumia Boeing 777 300ER kwa route za Dar ..na pia ndege hio hio hutumika kwenye route za nchi nyingine kwenda ulaya ..criteria ya kuletea ndege ni kutokana na uwingi wa abiria ..kabla ya hapo walitumia Airbus A340-600 na Airbus A330-300
Kwa Shirika kama KLM wao hutumia Airbus A330 au Boeing 777 200 kipind cha msimu wa abiria wachache ..kwa abiria wengi huswitch nakutumia hata Boeing 747-400 au hata Mcdonell Douglas MD 11
ILa mbona mi naona ni kwaida tu mfano unaweza ukatoka London kuja Bole ethiopia wanatumia 787 dreamliner then ukifika Bole kuja Bongo unaweza mkaruka na 787 dreamliner nyingine nafikiri the point is jamaa wana madegeee kibaoooooo last year wali pokea A350 ya 100 ss imagine wana madege 100 aina ya A350Sio Ethiopia tu.ndege nyingi za kwenda Kwa wazungu zinakuwa Nzuri ukilinganisha na ndege hizo hizo zinazoenda nchi za Africa.mfano emirate inayoenda New York from Dubai ni tofauti inayotoka Dubai kwenda Tanzania.