Ethiopian Airlines vs Kenya Airlines

Ethiopian Airlines vs Kenya Airlines

Wiki iliyopita tulikuwa hapo jnia ,poleni kwa ajali iliyowapata ndugu zenu huko Uganda.
download-1.jpeg
 
Tuzo za mwaka jana[emoji109] [emoji109] [emoji3] [emoji184] [emoji184] [emoji122] [emoji122]
Cfow_7IWIAAfaYe.jpg
 
382525.jpg
13129761_1212331308791123_1905942890_n.jpg
12501914_1675878009354766_910246474_n.jpg
 
Attachments

  • 13129761_1212331308791123_1905942890_n.jpg
    13129761_1212331308791123_1905942890_n.jpg
    87.1 KB · Views: 41
Zote mimi nimepanda ethiopia na kenya chakula kibaya sana halafu hizi ndege usipate tatizo uwe delay utakoma mbona emirates wanaleta ndege nzuri africa boeing 777?
 
1academ tuseme Kenya mmekosa kabisa ma-air hostess wazuri? Maana wengi wamekomaa sura na wana attitude sana
 
1academ tuseme Kenya mmekosa kabisa ma-air hostess wazuri? Maana wengi wamekomaa sura na wana attitude sana
Tunalishugulikia hilo,sio issue, ila mbona totoz wazuri tuu, kule west Africa Nigeria Ghana na Senegal tunafanya vyema Sana na wanatukubali kinyama, tatizo lenu waswahili mnataka hostess wetu wawape namba ama sijui massage., bila shaka mnamkumbuka yule mwenzenu alivofanya ndani ya emirates kule Dubai, bado yuko cell huko, picha ntazileta humu...[emoji3] [emoji191]
14128930_1766360806951453_2080448879_n.jpg
14128765_950798038376893_781643997_n.jpg
5c839b12105403.5625763c17fba.jpg
Cfow_7IWIAAfaYe.jpg
 
Rainbow lighting ndani ya dreamliner zetu hatari Sana
23026846772_38e888755f_c.jpg

karibuni simba lounge pia ndani ya jkia
1khT1MJ.png
 
kq kuna siku walinikera kwa ku overbook. waliharibu schedule yangu. ovyo kabisa hawa.
 
Sio Ethiopia tu.ndege nyingi za kwenda Kwa wazungu zinakuwa Nzuri ukilinganisha na ndege hizo hizo zinazoenda nchi za Africa.mfano emirate inayoenda New York from Dubai ni tofauti inayotoka Dubai kwenda Tanzania.

Kwa international airlines cdhani kama wanafanya hiv maana emirates hutumia Boeing 777 300ER kwa route za Dar ..na pia ndege hio hio hutumika kwenye route za nchi nyingine kwenda ulaya ..criteria ya kuletea ndege ni kutokana na uwingi wa abiria ..kabla ya hapo walitumia Airbus A340-600 na Airbus A330-300

Kwa Shirika kama KLM wao hutumia Airbus A330 au Boeing 777 200 kipind cha msimu wa abiria wachache ..kwa abiria wengi huswitch nakutumia hata Boeing 747-400 au hata Mcdonell Douglas MD 11
 
unaanzaje kuwashindanisha ET na KQ embu tazama warembo wa ET hapo hizo level TZ ,KQ, RW zitasubiri sanaa
Embu mtazame huyo wa pili upande wa kushoto ni nomeeeer
1553841533620.png
 
Kwa international airlines cdhani kama wanafanya hiv maana emirates hutumia Boeing 777 300ER kwa route za Dar ..na pia ndege hio hio hutumika kwenye route za nchi nyingine kwenda ulaya ..criteria ya kuletea ndege ni kutokana na uwingi wa abiria ..kabla ya hapo walitumia Airbus A340-600 na Airbus A330-300

Kwa Shirika kama KLM wao hutumia Airbus A330 au Boeing 777 200 kipind cha msimu wa abiria wachache ..kwa abiria wengi huswitch nakutumia hata Boeing 747-400 au hata Mcdonell Douglas MD 11

duh sio POA KBS ina maana emirate wanauza sana route ya TZ ? maana Boeing 777 300 ER si ule mdude mrefu sanaa mkubwa alafu Boeing walitengeneza B787-10 inafanana na 777 300ER
 
Sio Ethiopia tu.ndege nyingi za kwenda Kwa wazungu zinakuwa Nzuri ukilinganisha na ndege hizo hizo zinazoenda nchi za Africa.mfano emirate inayoenda New York from Dubai ni tofauti inayotoka Dubai kwenda Tanzania.
ILa mbona mi naona ni kwaida tu mfano unaweza ukatoka London kuja Bole ethiopia wanatumia 787 dreamliner then ukifika Bole kuja Bongo unaweza mkaruka na 787 dreamliner nyingine nafikiri the point is jamaa wana madegeee kibaoooooo last year wali pokea A350 ya 100 ss imagine wana madege 100 aina ya A350
 
Back
Top Bottom