π»kodi lazima zilipwe mkuuπHapa saizi amenuna nami nineondoka nipo sehem naupa mwili pole tartiiib...πΊ
Fanya maombi mkuu...Kuna hii Gen-Z mkuu, bora nirudi kwa millenia
Hahaaa kuna watu hawatakuelewa aisee unachosema comrade.Mie nimemjibu kwamba.....
Siwezi kurudia kosa tena....π
Eti nimekosea kumjibu hivyo wakuu....π
Mke wako ndiye anakujibu hivyo? Kwa hiyo anataka wewe utangulie mbele ya haki kabla yake?Mie nimemjibu kwamba.....
Siwezi kurudia kosa tena....π
Eti nimekosea kumjibu hivyo wakuu....π
Hahahaa poa comradeChuma bado ipo comrade, natamba nayo tu...π