Tetesi: Eti, Diamond ana-date na Poshy Queen, ingawa mahusiano yao hayapo official huku mtandaoni

Tetesi: Eti, Diamond ana-date na Poshy Queen, ingawa mahusiano yao hayapo official huku mtandaoni

Ukweli mtamu
 

Attachments

  • Screenshot_20200626-142228_Chrome.jpg
    Screenshot_20200626-142228_Chrome.jpg
    78.7 KB · Views: 2
Ingekua hivo mabikionea wasingesalitiwa

Pesa hata mimi naweza kuzitafuta broo
Sasa kama unataka kula na kuhamia utasalitiwa tu, maana mwenye mihela nae hatulii na mmoja...akisha kupa milioni yako usitegemee utapata kila siku wakati kuna wenzako nao wanasubiri....atakutelekeza nawe utajikuta unamsaliti.
 
Hela za aina hiyo hazifanyi maendeleo,ni mademu wachache tu ndo wanaoweza kufanya maendeleo kwa hela za kudanga
Duuuuuh sitaki kuamini yaan mil 20 mtu anaichezea hovyo tyuuuh, af mwisho wa siku anahaha dhiki na shida. Kwakweli Dunia haiko fair wallah. Khaaaaaah
 
Ha ha ni kwamba hela hamna tu, mil 20 ni kama dola elf 9 tu...
Kuna watu hizo wanaingiza per day
Hata km n hvyo ndio zipotee pasipo msingi? Khaaaah yaan me siamini ktk hili, sasa anakwama wapi huyu posh km mil 10 kwake n hela ya game 1? Aaaaaah
 
Machangudoa hawakatai ila mwanamke anaejua thamani yake sio rahisi kurubuniwa na pesa

Acha porojo, usifananishe pesa na vitu vya hovyo.... pengine hajavutiwa na wewe tu!
 
Poshy queen tumekula wengi,we kama una hela sema upate connection wale ni malaya wa town,usiogope sana...fanya hivi andaa million 10..hiyo ni kwa ajili ya ticket ya ndege,hotel,na dau lake

mkuu umeshamla kweli?
 
Back
Top Bottom