Inategemea, hela sio kila kitu kwenye mahusiano, hivi kuna mwanamke anaependa kudhalilika kisa pesa? Diamond yeye ametembea na kila mwanamke na amezaa hovyoo kila mahali halafu bado tuna mimi nijiingize kwenye mahusiano nae kisa pesa? Pride yangu kama mwanamke ipo wapi, hata kusimama mbele za watu kumtambulisha kama mpenzi ni aibu unaku aunajidhalilisha n watu wanakua wanakuchora tu
Ndio maana nikasema, kila mwanake anajua anachokitafuta kwenye mahusiano, wengine wanatafuta futere, wengine pesa, wengine upendo, wengine umaaarufu ila mimi mwanaume type ya diamond hata awe bilionea hanipati, abaki hukohuko na pesa zake atawapata wale wanaotafuta pesa na umaarufu kwenye mahusiano