Tetesi: Eti, Diamond ana-date na Poshy Queen, ingawa mahusiano yao hayapo official huku mtandaoni

Huyo hata milion haifiki maana wahongaji sikuhizi vyuma vimekaza kina uwoya tu wanalia njaa Sasa hivi.
Huyu mdada posh analinga san na hajui kujibana, but hakumbuki mwenzake Masogange yuko wapi. Yaan sijui wanawaza nn kununuliwa tyuuh, wanatia huruma mnoooh
 
Inategemea, hela sio kila kitu kwenye mahusiano, hivi kuna mwanamke anaependa kudhalilika kisa pesa? Diamond yeye ametembea na kila mwanamke na amezaa hovyoo kila mahali halafu bado tuna mimi nijiingize kwenye mahusiano nae kisa pesa? Pride yangu kama mwanamke ipo wapi, hata kusimama mbele za watu kumtambulisha kama mpenzi ni aibu unaku aunajidhalilisha n watu wanakua wanakuchora tu

Ndio maana nikasema, kila mwanake anajua anachokitafuta kwenye mahusiano, wengine wanatafuta futere, wengine pesa, wengine upendo, wengine umaaarufu ila mimi mwanaume type ya diamond hata awe bilionea hanipati, abaki hukohuko na pesa zake atawapata wale wanaotafuta pesa na umaarufu kwenye mahusiano

Sizani km ni ukweli hii comment yako inatoka uvungun mwa moyo wako
Ivi akija hapo kwenu kutoa mahari Davido au wizkid utakataa sometimes wanawake hamjuagi nn mnataka
 
Akiwa serious huwez kuchomoa yule ni week 1 unaeza kubadilisha maisha yako ukimtumia vizur
Biashara zako zitajulikana unaeza kutoboa mapema ukiwa na akili kwahiyo nakushaur akija usiangalie uswahil wake angalia ww utanufaika vip na mahusianao,,unaeza ukawa na huyo ambaye sio mswahil lkn hamna unachopata wala huna unachoingiza zaid ya saund tu na mgegedo na maendeleo hamna au hampigi hatua mbele kimaendeleo.
Shida Mimi staki kuwa staha wakipuuzi Mimi kihivo wallah, na siwezi kabisa sialini kwenye u short cut hivo.
Bora huo mda niutumie ku build my career from one stage mtu kukuvusha kwa vitu serious.
Though saa nyingine naweza date mtu wa ajabu asiye add kitu kwangu Ila kutoka na diamond ni matusi aisee na kukosa akili.
A date tu na watu type yake wasio na maadili
 
Huyu mdada posh analinga san na hajui kujibana, but hakumbuki mwenzake Masogange yuko wapi. Yaan sijui wanawaza nn kununuliwa tyuuh, wanatia huruma mnoooh
Huyo posh ka analipwa milion kumi mbona duka lake haliendani na hyo hadhi Tena I think limemushinda kafunga.
Sio posh tu na yule sanchi zaidi ya shape sijui wanalijivunia
 
You are right, hata malezi yangu ni tofauti na malezi yake na mbaya zaidi familia yao haina adabu, its not a decent family
Mimi Sina hela Ila ku date na diamond siwezi kabisa naona najizalilisha Mana ni mtu mswahili flani hata akili yangu tumetofautiana Sana. Saa nyingine utu ni Bora kuliko hela
 
You are right, hata malezi yangu ni tofauti na malezi yake na mbaya zaidi familia yao haina adabu, its not a decent family
Sure kabisa imagine kujihusisha na hyo family isiyo na heshima na adabu kisa umaarufu tunaona jinsi anavozalilisha wanawake nao akili ndogo Hawa komi, mama mtu kushikwa makalio dada mtu daily kuolewa na kuachika Tena wake sijui wa pili na watu.

Saa nyingine wengine tunaangalia our future kuliko umaarufu wa hovyo
 
Sasa dovido na wizdik ndo umewaona watu wakunitoa kwenye mstari

As said earlier, kila mtu kuna anachokitafuta kwenye mahusiano, am not looking for fame or money

Sizani km ni ukweli hii comment yako inatoka uvungun mwa moyo wako
Ivi akija hapo kwenu kutoa mahari Davido au wizkid utakataa sometimes wanawake hamjuagi nn mnataka
 
Sure kabisa imagine kujihusisha na hyo family isiyo na heshima na adabu kisa umaarufu tunaona jinsi anavozalilisha wanawake nao akili ndogo Hawa komi, mama mtu kushikwa makalio dada mtu daily kuolewa na kuachika Tena wake sijui wa pili na watu.

Saa nyingine wengine tunaangalia our future kuliko umaarufu wa hovyo
Yaaan nmecheka kule IG nilivoona post za ndoa ya esma ktk page yake, uwiiiiiiiii naskia mke wa 3 ndo nmechoka kabisaaaa, ile familia ina tatizo kidogo ktk upande wa maadili wallah mweeeeeh.
 
We acha tu, na bado kuna wanawake wanakesha kutamani kuwa na mtu kama diamond, all in all wanaume inabidi wajue kwamba wanawake wakati mwingiine hatuhitaji pesa zao wala umaarufu, ila tunahitaji mwanaume anaekupa thamani/heshima, kukujali na kukupenda with or without money
Sure kabisa imagine kujihusisha na hyo family isiyo na heshima na adabu kisa umaarufu tunaona jinsi anavozalilisha wanawake nao akili ndogo Hawa komi, mama mtu kushikwa makalio dada mtu daily kuolewa na kuachika Tena wake sijui wa pili na watu.

Saa nyingine wengine tunaangalia our future kuliko umaarufu wa hovyo
 
We acha tu, na bado kuna wanawake wanakesha kutamani kuwa na mtu kama diamond, all in all wanaume inabidi wajue kwamba wanawake wakati mwingiine hatuhitaji pesa zao wala umaarufu, ila tunahitaji mwanaume anaekupa thamani/heshima, kukujali na kukupenda with or without money
"ila tunahitaji mwanaume anaekupa thamani/heshima, "

Hili group mpo wachache.Wanawake wa siku hizi wengi wao kwenye hela hawachomoki,kuna wengine wanadiriki kujitongozesha kabisa kisa hela.
 
Naona wanawake kama vile mmeanza kuamka vile au ndio mbwembwe za huku Mtandaoni ila huko upande wa pili mnatamani zari la mondi.? Ila ki ukweli wanawake amkeni unajua ni bora kupewa hamsini nzima kuliko kupewa mia mbovu.?
 
Wengine wanataka tu awalale bure instead ya kufanya kazi, Yani kulalwa na diamond nayo ni achievement, wengine Hadi kutegesha mimba na Sasa wamebaki single mother huwa nashangaa huwa wanatumia akili gani.
Hapo kwa wanaume majority wanafikiria nikiwa na fame, money naweza kumfanyia mwanamke lolote vile ana shida asinifanye kitu, wanasahau swala la utu na heshima kwa mwanamke wake.
 
"ila tunahitaji mwanaume anaekupa thamani/heshima, "

Hili group mpo wachache.Wanawake wa siku hizi wengi wao kwenye hela hawachomoki,kuna wengine wanadiriki kujitongozesha kabisa kisa hela.
Na hao wanawake wameshindwa kujipa thamani na kujiheshimu pia kujitaftia vitu wao wenyewe, acha wazalilishwe tu kwa kweli
 
Naona wanawake kama vile mmeanza kuamka vile au ndio mbwembwe za huku Mtandaoni ila huko upande wa pili mnatamani zari la mondi.? Ila ki ukweli wanawake amkeni unajua ni bora kupewa hamsini nzima kuliko kupewa mia mbovu.?
Ujue huu ni ukweli wangu I can't date mwanaume type ya diamond kabisa, utu wangu ni muhimu na heshima, sipendi kuzalilishwa, matusi au labda money ndo unitese hyo big no. Shida wanawake wanelelewa kudanga na kuweka hela mbele mfano mabeto, alizaa na mond ili na yeye anunuliwe nyumba kwani Hana mikono?
Kazalilishwa Hadi uchawi bado hakomi kwa mond kujipendekeza licha ya mond kuwa na wanawake lukuki
 
Back
Top Bottom