Weka na cha ufaransa au italy
Italy
Buffon, Gatuso, Cannavaro, Nesta, Maldini, Inzaghi, Del pierro, Vieri
France
Thuram, petit, Zidane, Henry, Lizarazu, Makelele, Deschamps etc.
Hao jamaa walichukua fifa world cup 2002 bila kupoteza mchezo wowoteView attachment 3366141
Sasa hao masharobaro wa england wangeweza vipi kuchukua ubingwa mbele ya mafundi kama hao wa Brazil.
Hicho kikosi kilikuwepo wakati vikosi vingi vimeshuka viwango,we jamaa bana, eka na picha za wachezaji waliokuwa wakipambana nao ndio utajuwa kwanini hawakubeba hayo mataji.
Hicho kikosi kilikuwepo wakati vikosi vingi vimeshuka viwango,
Mwaka 2006 World Cup inaenda Baloon D or top 3 ni Ronaldinho, Lampard na Gerrard na kwenye Top 10 alikuwepo John Terry.
So on paper Uingereza walikua vizuri tu. Una beki Kushoto Ashley Young, kulia G. Neville kati Terry na Ferdinand, sub una sol Campbell, ledley King, caragher etc
Midfield una Gerrard, Lampard, Michael Carrick, Owen Hargreaves, Scott Parker etc
Pembeni una Beckham, Theo Walcott, Aaron lenon, Joe Cole etc.
Striker una Rooney, Owen, na bench zuri tu la kubadili tactic kina Crouch, defoe etc.
Hakuna kikosi 2006 ambacho kilikua na majina na wachezaji ambao wapo form kushinda hiki, enzi hizo wote Man U, Liverpool na Chelsea wapo moto na wachezaji kibao wa kingereza.
Walicheza hio era niliotaja? That's the point, tatizo lenu mnachukua wachezaji ambao peak yao ni miaka ya 90 ama mwanzoni kwa 2000 mna wa include hapo. Na hao wa Uingereza uliowataja wote ni depth option hawakuwa na no.we jamaa bana, hata sasahivi on papers england unaweza waona wazuri ukiwa mtu wa mihemko wa kufata media za kiengereza, yani unatutajia mpaka akina walcott, crouch, ashley young na carriek dah bora nikuache tu. wakati brazil kuna dinho, kaka, Juninho, ze reborto, cafu, carlos, ronaldo, robinho, adriano, lucio, dida wewe sio taahira kweli? italy kuna Totti, del piero, Inzaghi, pirlo, gattuso, nesta, zambrotta, canavaro, materazzi, grosso, de rossi, buffon.
Walicheza hio era niliotaja? That's the point, tatizo lenu mnachukua wachezaji ambao peak yao ni miaka ya 90 ama mwanzoni kwa 2000 mna wa include hapo. Na hao wa Uingereza uliowataja wote ni depth option hawakuwa na no.
Hii ndio Italy iliotwaa Kombe la Dunia 2006
View attachment 3366856
Haina Nesta, Haina Maldini haina wengi uliowataja hapo.
Mtu kama Toni haja fika level za Rooney, kina Camoranesi, Grosso, perrota, zambrotta etc walikua wachezaji wazuri ila wa kawaida far from individual waingereza wa wakati huo kama Ashley Cole, Beckham, Gerrard etc.
Its just Uingereza haikuwa well coached na waliwaste golden generation yao, ila kusema waliopambana nao walikua bora zaidi si kweli atleast kwa mwaka huo 2006 ambao wachezaji wengi wa 90 walishapita peak yao, na ndio maana hata hao wachezaji wa kingereza Wali dominated UCL between 2005-2009.