Eti England ilishindwaga kubeba FIFA angalau basi hata EURO na hiki kikosi

Eti England ilishindwaga kubeba FIFA angalau basi hata EURO na hiki kikosi

hiyo 2006 Beckham akiwa real madrid hata position alishabadilishwa akawa anchezeshwa midfield ya kuzuia badala winger
Hata Man U alikua midfield, watu wengi ambao walikua hawaangalii mpira zamani wanajua Beckham alikua winga teleza, wakati si kweli, 99 fainali Beckham kacheza katikati na mda mwingi Man U alikua akicheza kama Right midfield,
 
Toni alikuwa ni moja ya best No 9 in Europe, na ndio alikuwa European golden boot winner kwenye huo mwaka nini alichokuwa nacho rooney? we jamaa inaonekanwa na wale walioathirika na English Premier League ambao kila kinachotokana na huku hudhani kuwa ndio bora.
Sio level za Rooney na Owen we mwenyewe unalijua hilo moyoni mwako ila unataka Ligi tu.
 
Hata Man U alikua midfield, watu wengi ambao walikua hawaangalii mpira zamani wanajua Beckham alikua winga teleza, wakati si kweli, 99 fainali Beckham kacheza katikati na mda mwingi Man U alikua akicheza kama Right midfield,

Hiyo finali unayozungumzia alicheza kwa dharura, Madrid aliwekwa parament kabisa baada ya kukosa namba pembeni.
 
Sio level za Rooney na Owen we mwenyewe unalijua hilo moyoni mwako ila unataka Ligi tu.

we jamaa bana, by 2006 Owen alishapotea kabisa kwenye majina makubwa, alikuwa yupo new castle anaunga unga , by 2004 alikuwa madrid anasugua bench. Rooney 2006 hata 20 goals a season bado hakuwahi kufikisha
 
Hicho kikosi kilikuwepo wakati vikosi vingi vimeshuka viwango,

Mwaka 2006 World Cup inaenda Baloon D or top 3 ni Ronaldinho, Lampard na Gerrard na kwenye Top 10 alikuwepo John Terry.

So on paper Uingereza walikua vizuri tu. Una beki Kushoto Ashley Young, kulia G. Neville kati Terry na Ferdinand, sub una sol Campbell, ledley King, caragher etc

Midfield una Gerrard, Lampard, Michael Carrick, Owen Hargreaves, Scott Parker etc

Pembeni una Beckham, Theo Walcott, Aaron lenon, Joe Cole etc.

Striker una Rooney, Owen, na bench zuri tu la kubadili tactic kina Crouch, defoe etc.

Hakuna kikosi 2006 ambacho kilikua na majina na wachezaji ambao wapo form kushinda hiki, enzi hizo wote Man U, Liverpool na Chelsea wapo moto na wachezaji kibao wa kingereza.
Ashley Cole Siyo young
 
we jamaa bana, by 2006 Owen alishapotea kabisa kwenye majina makubwa, alikuwa yupo new castle anaunga unga , by 2004 alikuwa madrid anasugua bench. Rooney 2006 hata 20 goals a season bado hakuwahi kufikisha
Owen hajawahi kuwa mbaya, ila alikua na majeruhi tu, angalia stats zake Newcastle, United kote ni Elite,
 
England wana mpira wa mdomoni tu..., hata ile World Cup waliyobeba ni sababu ilikuwa kwao na waliwadhurumu Brazil na King Pele... angalau hata Portugal na Mtaalamu Eusebio walikuwa bora kuliko England ila ndio hivyo wakapigwa figusu na kubadilisha uwanja wa kucheza na England dakika ya mwisho mwisho

In the 1966 World Cup, Brazil, despite being a strong favorite, failed to advance beyond the group stage due to injuries and a controversial match against Portugal. While Pele himself did score in the first match against Bulgaria, he suffered a knee injury after being fouled repeatedly and missed the second match against Hungary. In their final group game against Portugal, Pele was intentionally fouled by Joao Morais, effectively rendering him unable to play effectively for the rest of the match. The Portuguese team then won 3-1, eliminating Brazil from the tournament.
Chuki dhidi ya Waingereza ni kubwa mno.
 
Chuki dhidi ya Waingereza ni kubwa mno.
Unaweza ukadispute lolote nililosema kuhusu hujuma walizofanya UK 1966 nilete vivid evidences ?

Kwanza ilikuwa Ulaya na Amerika ya Kusini baada ya kuwaondoa wote wakaanza kufanyiana figusi (England dhidi ya Portugal ya Eusebio); hadi kubadilisha venue na kuwafanya Portugal kusafiri safari ndefu hence uchovu....
 
Hiyo finali unayozungumzia alicheza kwa dharura, Madrid aliwekwa parament kabisa baada ya kukosa namba pembeni.
Hata mechi za kawaida, Becks alikua ni kiungo wa kulia (Right midfield) na sio winga teleza inyokwenda kwenye kibendera kama watu wengi wanavyofkiri.
 
Hata mechi za kawaida, Becks alikua ni kiungo wa kulia (Right midfield) na sio winga teleza inyokwenda kwenye kibendera kama watu wengi wanavyofkiri.

mkuu zamani winger wote walikuwa ni midfield wapembeni, ni miaka ya karibuni tu ma winger wamekuwa wanachezeshwa ma forward.
 
Gerrald na lampard wote walikua wa moto na wanacheza position moja, kocha akawa analazimisha wote wacheze wakati wote ni box to box midfielders! Hii ndo kitu iliokua ina wacost england kiungo chake pale kati kilikua exposed Sana
 
Mpira ni mbinu, ufundi wa mchezaji binafsi na kujitoa. Mfano kama Italy walikuwa na mix ya wachezaji mbalimbali wenye vipaji sana na walikuwa technical sana. Uingereza nilikuwa naifananisha na mbuzi, wakifunguliwa zizini wanajiendea hovyo hovyo tu.

Sasa ukishakutana na watu kama Pirlo, Del Piero, Cannavaro, Nesta, De Rossi and Co basi utajiona hujui mpira Wala mbinu pia huzijui, kipindi kile Italy walikuwa wako Bora sana hasa ligi Yao ya ndani, ilikuwa na quality nyingi zilizokuwa haziimbwi. Unajua Kuna kundi la wachezaji ukiliweka pamoja unapata mix nyingi za vipaji, ufundi hivyo ni option nzuri Kwa kocha. Sasa wewe una wachezaji wanaofanana, Kila kiungo anataka apige mishuti hovyo, lazima upigwe.
 
wejamaa bana, Owen mpira aliumaliza Liverpoor, hakuwahi kuwa big name tena baada ya hapo.
Sababu ya injury na sio uwezo, united kama sijakosea ana goal involvement kila dakika 94, hio ni ratio ya elite striker yoyote mkubwa ukitoa Ronaldo na Messi
 
Gerrald na lampard wote walikua wa moto na wanacheza position moja, kocha akawa analazimisha wote wacheze wakati wote ni box to box midfielders! Hii ndo kitu iliokua ina wacost england kiungo chake pale kati kilikua exposed Sana
Wote wanacheza pamoja ila sio 2 man midfield, unahitaji DM kuwa accomodate
 
Back
Top Bottom