Eti England ilishindwaga kubeba FIFA angalau basi hata EURO na hiki kikosi

Eti England ilishindwaga kubeba FIFA angalau basi hata EURO na hiki kikosi

mkuu kwahiyo wewe huzikumbuki zile cross za beckham za ncha za chaki ama? Beckham hakuwa dribble mzuri na ndio mana hakuwa akitembea na mipira sana pemebeni ila always alikuwa yupo pembeni. unless mda wa ku defend.
Wapi nimekataa hachezi pembeni? Right midfielder ni midfielder ambaye hachezi katikati bali pembeni ila anacheza kama midfielder badala ya kwenda kwenye kibendera na kutoa cross anapiga cross zake pale pale katikakati, anakaba na kuchezesha timu.
 
Hicho kikosi kilikuwepo wakati vikosi vingi vimeshuka viwango,

Mwaka 2006 World Cup inaenda Baloon D or top 3 ni Ronaldinho, Lampard na Gerrard na kwenye Top 10 alikuwepo John Terry.

So on paper Uingereza walikua vizuri tu. Una beki Kushoto Ashley Young, kulia G. Neville kati Terry na Ferdinand, sub una sol Campbell, ledley King, caragher etc

Midfield una Gerrard, Lampard, Michael Carrick, Owen Hargreaves, Scott Parker etc

Pembeni una Beckham, Theo Walcott, Aaron lenon, Joe Cole etc.

Striker una Rooney, Owen, na bench zuri tu la kubadili tactic kina Crouch, defoe etc.

Hakuna kikosi 2006 ambacho kilikua na majina na wachezaji ambao wapo form kushinda hiki, enzi hizo wote Man U, Liverpool na Chelsea wapo moto na wachezaji kibao wa kingereza.
2006 ballon dor top 3 haikua hiyo, walikua cannavaro, Buffon na Thiery Henry, akachukua cannavaro.

Ashley young, Scott Parker, defoe hawakuwpo kwenye kikosi Cha England world cup 2006

France na Brazil 2006 ndio viikosi kilikua na majina na wachezaji wapo form kuliko wengine
France walikua na: Erick Abidal, Viera, Gallas, Makelele, Malouda, Govou, Zidane, Luois Saha, Thuram, Ribery, Trazeguet n.k

Brazil walikua na: Dida, Cafu, Lucio, Emerson, Carlos, Adriano, Kaka, Ronaldinho, Ze Roberto, Ronaldo, Cicinho, Luisao, Gilberto Silva, Juninho, Fred, Robinho nk

Brazil ndio walikua favourites, walikua wameenea idara zote.
 
Walicheza hio era niliotaja? That's the point, tatizo lenu mnachukua wachezaji ambao peak yao ni miaka ya 90 ama mwanzoni kwa 2000 mna wa include hapo. Na hao wa Uingereza uliowataja wote ni depth option hawakuwa na no.



Hii ndio Italy iliotwaa Kombe la Dunia 2006

View attachment 3366856
Haina Nesta, Haina Maldini haina wengi uliowataja hapo.

Mtu kama Toni haja fika level za Rooney, kina Camoranesi, Grosso, perrota, zambrotta etc walikua wachezaji wazuri ila wa kawaida far from individual waingereza wa wakati huo kama Ashley Cole, Beckham, Gerrard etc.

Its just Uingereza haikuwa well coached na waliwaste golden generation yao, ila kusema waliopambana nao walikua bora zaidi si kweli atleast kwa mwaka huo 2006 ambao wachezaji wengi wa 90 walishapita peak yao, na ndio maana hata hao wachezaji wa kingereza Wali dominated UCL between 2005-2009.
Allesandro Nesta alicheza world cup 2006. Rejea mechi ya kwanza ya makundi Italy vs Ghana maana hii waafrica wengi hufatilia.

Rekebisha hapo ulipokosea. Nesta alikuwepo
 
Allesandro Nesta alicheza world cup 2006. Rejea mechi ya kwanza ya makundi Italy vs Ghana maana hii waafrica wengi hufatilia.

Rekebisha hapo ulipokosea. Nesta alikuwepo
Nimesema fainali sijasema kiu jumla angalia vizuri, hio ni first 11 iliotwaa kombe
 
2006 ballon dor top 3 haikua hiyo, walikua cannavaro, Buffon na Thiery Henry, akachukua cannavaro.

Ashley young, Scott Parker, defoe hawakuwpo kwenye kikosi Cha England world cup 2006

France na Brazil 2006 ndio viikosi kilikua na majina na wachezaji wapo form kuliko wengine
France walikua na: Erick Abidal, Viera, Gallas, Makelele, Malouda, Govou, Zidane, Luois Saha, Thuram, Ribery, Trazeguet n.k

Brazil walikua na: Dida, Cafu, Lucio, Emerson, Carlos, Adriano, Kaka, Ronaldinho, Ze Roberto, Ronaldo, Cicinho, Luisao, Gilberto Silva, Juninho, Fred, Robinho nk

Brazil ndio walikua favourites, walikua wameenea idara zote.
Baloon D or ya 2006 inatolewa baada ya world cup kuisha, comment yangu inasema "kuelekea world cup" ikimaanisha kabla ya world cup"

Tatizo mnataja tu majina Cafu 2006 sio world class tena same tu Carlos,
 
Wapi nimekataa hachezi pembeni? Right midfielder ni midfielder ambaye hachezi katikati bali pembeni ila anacheza kama midfielder badala ya kwenda kwenye kibendera na kutoa cross anapiga cross zake pale pale katikakati, anakaba na kuchezesha timu.

Hakuwa dribble mzuri ndio mana hakua akikimbia na mipira pemebeni kila mara
 
Hakuwa dribble mzuri ndio mana hakua akikimbia na mipira pemebeni kila mara
Hakua na speed, na ndio maana ni RM ama wide playmaker badala ya natural winger tuliowazoea wakati huo. Kwa modern player Beckham anafananishwa na Trent badala ya watu kama Salah, Rashford ama saka.
 
Hakua na speed, na ndio maana ni RM ama wide playmaker badala ya natural winger tuliowazoea wakati huo. Kwa modern player Beckham anafananishwa na Trent badala ya watu kama Salah, Rashford ama saka.

acha kumtusi Beckham mkuu, unaanzaje kumfananisha na hizo takataka
 
Back
Top Bottom