Eti England ilishindwaga kubeba FIFA angalau basi hata EURO na hiki kikosi

mkuu kwahiyo wewe huzikumbuki zile cross za beckham za ncha za chaki ama? Beckham hakuwa dribble mzuri na ndio mana hakuwa akitembea na mipira sana pemebeni ila always alikuwa yupo pembeni. unless mda wa ku defend.
Wapi nimekataa hachezi pembeni? Right midfielder ni midfielder ambaye hachezi katikati bali pembeni ila anacheza kama midfielder badala ya kwenda kwenye kibendera na kutoa cross anapiga cross zake pale pale katikakati, anakaba na kuchezesha timu.
 
2006 ballon dor top 3 haikua hiyo, walikua cannavaro, Buffon na Thiery Henry, akachukua cannavaro.

Ashley young, Scott Parker, defoe hawakuwpo kwenye kikosi Cha England world cup 2006

France na Brazil 2006 ndio viikosi kilikua na majina na wachezaji wapo form kuliko wengine
France walikua na: Erick Abidal, Viera, Gallas, Makelele, Malouda, Govou, Zidane, Luois Saha, Thuram, Ribery, Trazeguet n.k

Brazil walikua na: Dida, Cafu, Lucio, Emerson, Carlos, Adriano, Kaka, Ronaldinho, Ze Roberto, Ronaldo, Cicinho, Luisao, Gilberto Silva, Juninho, Fred, Robinho nk

Brazil ndio walikua favourites, walikua wameenea idara zote.
 
Allesandro Nesta alicheza world cup 2006. Rejea mechi ya kwanza ya makundi Italy vs Ghana maana hii waafrica wengi hufatilia.

Rekebisha hapo ulipokosea. Nesta alikuwepo
 
Allesandro Nesta alicheza world cup 2006. Rejea mechi ya kwanza ya makundi Italy vs Ghana maana hii waafrica wengi hufatilia.

Rekebisha hapo ulipokosea. Nesta alikuwepo
Nimesema fainali sijasema kiu jumla angalia vizuri, hio ni first 11 iliotwaa kombe
 
Baloon D or ya 2006 inatolewa baada ya world cup kuisha, comment yangu inasema "kuelekea world cup" ikimaanisha kabla ya world cup"

Tatizo mnataja tu majina Cafu 2006 sio world class tena same tu Carlos,
 
Wapi nimekataa hachezi pembeni? Right midfielder ni midfielder ambaye hachezi katikati bali pembeni ila anacheza kama midfielder badala ya kwenda kwenye kibendera na kutoa cross anapiga cross zake pale pale katikakati, anakaba na kuchezesha timu.

Hakuwa dribble mzuri ndio mana hakua akikimbia na mipira pemebeni kila mara
 
Hakuwa dribble mzuri ndio mana hakua akikimbia na mipira pemebeni kila mara
Hakua na speed, na ndio maana ni RM ama wide playmaker badala ya natural winger tuliowazoea wakati huo. Kwa modern player Beckham anafananishwa na Trent badala ya watu kama Salah, Rashford ama saka.
 
Hakua na speed, na ndio maana ni RM ama wide playmaker badala ya natural winger tuliowazoea wakati huo. Kwa modern player Beckham anafananishwa na Trent badala ya watu kama Salah, Rashford ama saka.

acha kumtusi Beckham mkuu, unaanzaje kumfananisha na hizo takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…