Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,103
Maccm/LB7 mbona siwaoni kwenye uzi huu???!!!Matatizo makubwa ya Watanzania ni :
1. Dikteta wa magogoni
2. CCM
3. Ujinga
4. Maradhi
wallah nimeumia sana nilipoangalia hiyo video na nimeshindwa kuimaliza.kuna wapumbavu wachache wakiongozwa na waunga juhudi zisizo rasmi wanatufanya tuonekane waafrika wote hatukujiandaa kuishi tukiwa na uhuru wa kujiongoza na kujisimamia wenyewe.
huyo mama anapaswa asaidiwe haraka sana pamoja na watoto wake
hajitambui kama ana mimba au hana.
inaumiza sana.
M
Maccm/LB7 mbona siwaoni kwenye uzi huu???!!!
Teh teh teh teh
Kuna mambo ukiyaona na kuyasikia hapa kwetu Tanzania wakati mwingine unaudhika, unacheka, unakata tamaa na mwisho wa siku unaishia kusikitika.
Wakati Twaweza walipokuja na utafiti wao wa kuonesha kwamba CCM inaungwa mkono na watu wasio na elimu sikuelewa. Lakini video hii imenifanya nielewe ni kwa nini CCM inaungwa mkono na watu wa aina hiyo.
Hawa wanaoonekana kwenye video hii kwa Umri walio nao bila ya shaka ni wapiga kura tarajali kwenye uchaguzi wa 2020, ni AIBU ILIOJE!
View attachment 1111592
hata hujaeleweka tatizo lako ni nini?
Kuipigia kura CCM na hiyo video vina husiana nini mwisho wa siku kura ni siri ya mtu
Na kila mtu anamchagua amtakaye
Kwa akili ya kawaida tu,chukulia huyo ni mama mdogo wako huko kijijini au mtoto wa kaka yako kijijini mbona aibu,msijifanye hamnazo.Na kwa dharau kama hizi ndio maana upinzani mnaangukia pua kila mara. endeleeni kuwadharau watanzania.
Wewe endelea kuwadharau lakini ndiyo wataiwezesha CCM kushinda na wewe baki na uelewa wako. Halafu cha ajabu wewe kama kweli ni msomi umeshindwa kuwa win hao unaowaona wajinga!! Basi wewe utakuwa mjinga zaidi. Kuelimika ni kuweza kuyamudu mazingira unayoishi.Kuna mambo ukiyaona na kuyasikia hapa kwetu Tanzania wakati mwingine unaudhika, unacheka, unakata tamaa na mwisho wa siku unaishia kusikitika.
Wakati Twaweza walipokuja na utafiti wao wa kuonesha kwamba CCM inaungwa mkono na watu wasio na elimu sikuelewa. Lakini video hii imenifanya nielewe ni kwa nini CCM inaungwa mkono na watu wa aina hiyo.
Hawa wanaoonekana kwenye video hii kwa Umri walio nao bila ya shaka ni wapiga kura tarajali kwenye uchaguzi wa 2020, ni AIBU ILIOJE!
View attachment 1111592
Ni 87% ya watz hio je utawainua wote, wajinga wakiamka watawala watalala.
Ni sawa mkuu ndio maana ccm inategemea sana wapiga kura wa vijijini akipewa kanga,na kofia hapo bado hawajaiba kura.Sana Mkuu na katika population ya milioni 55 wenye ufinyu wa akili kama huyu ni more than 50%. Hivyo uwezo wa kutambua haki zao kama raia/wapiga kura hawanao kabisa. Ni rahisi sana kuwaburuza hawa.
MTU masikini Na mjinga aweza hata ishukuru ccm kwamba imewaletea dengueWewe endelea kuwadharau lakini ndiyo wataiwezesha CCM kushinda na wewe baki na uelewa wako. Halafu cha ajabu wewe kama kweli ni msomi umeshindwa kuwa win hao unaowaona wajinga!! Basi wewe utakuwa mjinga zaidi. Kuelimika ni kuweza kuyamudu mazingira unayoishi.
Hata wao wanajua kuwainua Na kuwapa elimu Na maendeleo wajinga ni kutokuitakia mema ccm.Tilioni 15 tu zatosha kufuta ujinga Na kuwatengezea njia masikini. Lkn wako radhi kutumia hata tilioni 20 kutupa kwenye whitelephant projects kuwadanganya masikini, ndege,SGR zile ni Kwa ajili ya high class people ambao awazidi hata 20% ya population yote.Huwezi ukazuia Pesa kuzunguka Kusomesha no watu ( kuuwa private sector) then wakati huo unafanya biashara upate faida.Ni sawa mkuu ndio maana ccm inategemea sana wapiga kura wa vijijini akipewa kanga,na kofia hapo bado hawajaiba kura.