Eti hii si shida kwa maisha ya kila siku?

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Mwanaume ni tallest na mwanamke ni shortest kwa hali ya kawaida hivi wataishi kwa furaha au watu watawashangaa kila daily? Pimbi na Zena .🤣🤣🤣🤣 nipo serious .

Unakuta umefall in love na kitu kirefu nisaidieni kimawazo siitaji mzahaa nataka kupata jibu ni muhimu kwenu mkiwa serious.
 
Urefu upi mmojawapo rafiki.. Kwakuwa hata kiber100 Kina kinyume chake
 
Urefu upi mmojawapo rafiki.. Kwakuwa hata kiber100 Kina kinyume chake
 
Kwa Kawaida:

1. Mwanaume inabidi awe mrefu kuliko mwanamke.

2. Mwanamke inabidi awe mweupe kuliko mwanaume.

3. Mwanamke inapendeza akiwa ana kamwili zaidi kuliko mwanaume.

4. Mwanaume inabidi awe amesoma zaidi kuliko mwanamke.

5. Mwanaume inabidi awe na kipato kikubwa zaidi kuliko mwanamke.

6. Mwanaume inabidi awe na umri mkubwa kuliko mwanamke.

7. Mwanamke inabidi ampende zaidi mwanaume kuliko mwanaume anavyompenda mwanamke....

8. Mwanamke inabidi awe na sura nzuri kuliko mwanaume.

➡️➡️➡️ Lakini kwa vile hayanaga mwongozo wala fomyula, lo lote linawezekana!

Usiogope. Kama ushayavulia nguo, yakoge tu! Potelea mbali walimwengu watakavyodhani! 🚮

 
Kwa hiyo vibonge waowane vibonge, wembamba kwa wembamba, weusi kwa weusi, mrembo kwa handsome, tajiri kwa tajiri, masikini kwa maskini, kipanga kwa kipanga, mbumbumbu kwa mbumbumbu, nk. Maisha hayapo hivyo labda ukaishi dunia yako peke yako.
 
Shikamoo Kaka,
Naomba muongozo hapo No. 7 tafadhali..
Ahsante..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…