Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Weka pichaMwanaume ni tallest na mwanamke ni shortest kwa hali ya kawaida hivi wataishi kwa furaha au watu watawashangaa kila daily? Pimbi na Zena .🤣🤣🤣🤣 nipo serious .
Unakuta umefall in love na kitu kirefu nisaidieni kimawazo siitaji mzahaa nataka kupata jibu ni muhimu kwenu mkiwa serious.