Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
so yeye ndo analipia kila kitu kwenye mahusiano yenu? Au?Naibiwa nini sasa hapo kwa mfano?simpi hata mia yangu wala simgaramikii kwa lolote.
Anajua utajaa upepo akuchomoe maokotoMfumo gani niliojazwa boss?
Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.
Au sio mnaturingishia!Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.
Wewe bado unamtaka manake namba unazo na mnachati. Kama ashakua mke wa mtu mpe block kila mahali, wake za watu sumu. Unaeza fanyiwa kitu mbaya
🤣🤣🤣Ndoa ni utapeli hasa wanawake weusi
Huwa nashangaa MTU anaoa Mimi siwezi kuoa mbantu achilia mbali kuzaa nae .
HahahaWanaume Huwa hatuulizi.. Kwanini unanipenda, unanipendea nn?.
Daahh umetuangusha.
Anyway huyo ni Mke Kila MTU.
HahahaAcha kujipigia debe Jm F ww, una WhatsApp mbili unaandika huku, unajibu kule. Una screenshot una post
Dumbass