Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha nami nilitaka niseme hivyo hivyo 😀😀Eti umenipendea nini?? 😳
Hili jamaa jinga kweli.!!
Mi ningekuwa huyo demu ningemjibu, nimekupendea wowowo lako.!! 😹😹
Anatufanya sisi wajinga kajiandikia halafu ka switch account na ku screenshot. Muongo huyuSifa zako ni zipi mkuu hebu tupe hata tatu tuprove anachokisema bidada hapo.
Kafanya nimekumbuka jana dada anayenisaidia kazi home nilichukua simu yake dah.!! Hizo sms za wanaume wanaomtongoza zinachekesha mbavu mpk ziliniuma 😹😹😹Ha ha ha ha nami nilitaka niseme hivyo hivyo 😀😀
Duu haogopi kama simu inaweza potea akaaibika! Sijui nikukosa malezi mabovu au hawajitambui!Kafanya nimekumbuka jana dada anayenisaidia kazi home nilichukua simu yake dah.!! Hizo sms za wanaume wanaomtongoza zinachekesha mbavu mpk ziliniuma 😹😹😹
Kuna mmoja kamtumia dubwasha lake halafu anamwambia eti “Mke wangu watoto wako wananisumbua” 🤣🤣🤣
Hao tomba tu usioe vimeo hivyo, ni mazuri yakiwa ndani we liache hapo kama pambo tu.Ndoa ni utapeli hasa wanawake weusi
Huwa nashangaa MTU anaoa Mimi siwezi kuoa mbantu achilia mbali kuzaa nae .
😁😁Hiii kali Huyo m mang'ati wa wapi😎Kafanya nimekumbuka jana dada anayenisaidia kazi home nilichukua simu yake dah.!! Hizo sms za wanaume wanaomtongoza zinachekesha mbavu mpk ziliniuma 😹😹😹
Kuna mmoja kamtumia dubwasha lake halafu anamwambia eti “Mke wangu watoto wako wananisumbua” 🤣🤣🤣
HahahahaKafanya nimekumbuka jana dada anayenisaidia kazi home nilichukua simu yake dah.!! Hizo sms za wanaume wanaomtongoza zinachekesha mbavu mpk ziliniuma 😹😹😹
Kuna mmoja kamtumia dubwasha lake halafu anamwambia eti “Mke wangu watoto wako wananisumbua” 🤣🤣🤣
huyu hakuepo kikao cha mwezi huu, amefeli sanaWanaume Huwa hatuulizi.. Kwanini unanipenda, unanipendea nn?.
Daahh umetuangusha.
Anyway huyo ni Mke Kila MTU.
Ameona achangamshe ukumbiAnatufanya sisi wajinga kajiandikia halafu ka switch account na ku screenshot. Muongo huyu
😃😃😃Siwez bisha aisee kunamtu namuona Yan anaendesha mahusiano nje ya ndoa km yupo single ajabu akirud kushenyentwa anampost mumew I love u my husband😄😄😄
Mabwege ndivyo hupigwa. Amekuona wewe ni bwege na anataka kuendelea kukuchuna. Au hujui mchezo? Mbona hata sisi wanaume kama tunataka kumshawishi mwanamke tulale naye tunatumia maneno kama hayo?Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.