Eti huyu ni mke wa mtu,tena kaolewa kwa ndoa ya kanisani kabisa na watu wakakusanyika ukumbini kuhudhuria sherehe ya harusi yake.

Eti huyu ni mke wa mtu,tena kaolewa kwa ndoa ya kanisani kabisa na watu wakakusanyika ukumbini kuhudhuria sherehe ya harusi yake.

Et umenipendea nn? Ushamba mzigo mwanaume umuulize demu tena mke wa mtu umenipendea mm?? Ha 😂
 
Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.
Kwa hiyo Tang'ana wewe ndio umetongozwa?
 
Umenipendea nini, swali unauliza mwanaume kweli?? Hayo maswali huwa tunauliza wanawake tukiwa na lengo la kusifiwa ila kwa mwanaume linaleta ukakasi kidogo.
 
Umeuliza swali la Kiduanzi sana Kama mwanaume....eti umenipendea nini.... Kweli!

Kuna kitu ilikuwa ikiitwa SUKITA miaka flani hivi unaijua? 😀
 
Ni kweli kuwa wake zetu wanawekwa sana, wamekuwa cheap kuliko singles.

Wenye nguvu ya kuwaombea muendele kufanya hivyo, huenda wakarudi kwenye mstari. Na sisi wapenda mbususu tuendelee nazo..kifupi mzidi kuziombea ndoa za sasa, zipo ICU.
 
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
 
Maswali ambayo mwanamke alitakiwa aulize, ajabu mwanaume ndo anauliza.!!😥
Hao akiishi na mkewe kila jambo analo ambiwa na mkewe lazima akamwambie mama yake, kwahiyo anakuwa baba msimuliaji mama na dada
 
Back
Top Bottom