Eti huyu ni mke wa mtu,tena kaolewa kwa ndoa ya kanisani kabisa na watu wakakusanyika ukumbini kuhudhuria sherehe ya harusi yake.

Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.
Wewe ndio mpumbavu,.........kwani alianza kutumia meseji kwanza?
 
Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.
Baltazar na wewe.tofauti yenu ni majina
 
Ndoa baadhi huko ndani ni jehanamu ndogo za nyumbani, kuna mtu anaweza kwambia mme hanigusi miezi, au mwaka na sababu haieleweki, mme naye utasikia mke ananikaushia naambulia vipepsi 😂😂😂, kwahiyo wakati mwingine unaweza mlaumu lakini hujui anayo pitia
 
Binafsi sijafungua kusoma msg zaidi ya uzi tu, ila nakushauri piga chini kwa heshima na usalama wako. Ukiwa unatoka na mke wa mtu unajuonia poa ila siku mambo yakibadilika na mkaanza kuwindana na mmewe utatamani urudishe siku nyuma na haitawezekana.
 
Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.
Madogo huwa mnadanganyika sana. But umeuliza swali la kike. Mwanaume anauliza unanipendea nini?kizazi hiki.
 
Kataa ndoa win(over3.5 ft) lakini first half ubao unasoma 4:1 . Timu wapenda ndoa wamepewa na red juu.
 
Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.
Mkuu uzulia vikao.
 
Maswali ambayo mwanamke alitakiwa aulize, ajabu mwanaume ndo anauliza.!!😥
 
Mbona hilo jibu ni kama kacopy then akakutumia wewe, mbaya zaidi amemcopy mwanaume aliemuuliza swali kama hilo
Kua makini
 
Utasikia jamaa anawaambia washkaji zake "Dah, wife Hana mchezo. Yani ana nidhamu sana yule mwanamke, Mimi na umalaya wangu wote pale nimefika". Kumbe jamaa anachorwa tu.
 
Back
Top Bottom