Eti huyu ni mke wa mtu,tena kaolewa kwa ndoa ya kanisani kabisa na watu wakakusanyika ukumbini kuhudhuria sherehe ya harusi yake.

Eti huyu ni mke wa mtu,tena kaolewa kwa ndoa ya kanisani kabisa na watu wakakusanyika ukumbini kuhudhuria sherehe ya harusi yake.

Naibiwa nini sasa hapo kwa mfano?simpi hata mia yangu wala simgaramikii kwa lolote.
so yeye ndo analipia kila kitu kwenye mahusiano yenu? Au?

Naturally mwanaume unatakiwa ugharamikie mahusiano yako otherwise ipo shida mahali
 
We jamaa maturity yako bdo...umepewa Kaa kimya... women cheat by calculations...
Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.
 
Wewe bado unamtaka manake namba unazo na mnachati. Kama ashakua mke wa mtu mpe block kila mahali, wake za watu sumu. Unaeza fanyiwa kitu mbaya
 
IMG_5774.jpeg
 
Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation yangu na yeye jioni hii,yani hizi ndoa mliooana kazi mnayo kubwa sana.
Au sio mnaturingishia!
 
Utaondoka na ugonjwa, ana wengi, masikini bwana hana habari, huenda yeye hachepuki na anamuamini mke wake. Basi imeandikwa tuishi nao kwa akili.
 
Back
Top Bottom