Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Babu mimi nilishatoa mchango wangu na msimamo wangu; japokuwa na wanaJF wanasema sisi ni wanafiki na tunajifanya! Sasa sielewi wamenijuaje kama mimi ni mnafiki na najifanya malaika! mhhh!!!! Ofcos, kila mtu anaijua nafsi yake mwenyewe!

well said mpenzi lol
 
Aaah,Wanaumeeeeeeee,akili vichwani mwetu kusuka au kunyoa,lakini huo ndio mpango mzimaa wa mapenzi,hakuna kiapo kinachotekelezeka,viapo vyote vinakuwaga zuga tuu,kwani hata Mkulu na wenzake wakati wanakabidhiwa madaraka si waliapa?

Na sheria inawekwa ili ivunjwe well said mkuu
 
Mimi wala sijakwazika...!
Ila sasa, inaonekana ni ngumu kujua nani yuko serious na kile anaandika! Mimi nilifkiri tunakuwa wakweli katika michango yetu, lakini sijui kama ni hivyo kwa wote!!
In truth, politeness is artificial good humor; it covers the natural want of it, and ends by rendering habitual a substitute nearly equivalent to the real virtue
 
In truth, politeness is artificial good humor; it covers the natural want of it, and ends by rendering habitual a substitute nearly equivalent to the real virtue

Mhh TF..hebu niambie kwa kilugha cha kwetu, hii imenipita pembeni!
 
In truth, politeness is artificial good humor; it covers the natural want of it, and ends by rendering habitual a substitute nearly equivalent to the real virtue

Kwa mungu umekimbia sasa umekuja na vidhungu haya mie sijaelewa hebu iweke kwa ile lugha aliyotufundisha Mwalimu Nyerere natamani kufahamu maana yake tafadhali

NB: Ni ombi tu lakini sio lazima
 
Hivi kweli babu..mwanaume ninayempenda ameumia amelala kitandani, hawezi! Hivi nina ujasiri gani huo kweli wa kumufanyia unyama huo! Nafsi yangu inanisuta...! Ninaamini Mungu atafanya mlango wa kutokea kwa hilo jaribu, aidha amponye mue wangu, kama haponi basi nami vya kwangu vilale usingizi, ili nisipate taabu! Ni ngumu, lakini everthing is possible with God if only believe!

Dah keren wewe mungu akubariki sana watu hawataki tu kuamini kwamba ukimuomba mungu kwa dhati anafanya na hakuna jaribu anampa mtu bila sababu anajua lazima utalishinda tu. Halafu nimepata kitu hapo cha kuomba likinikuta namwambia tu mungu na kwangu kulale kama mwenzangu watu wanaoana hawapendani lakini kama kweli wampenda mwenzako hasa kwa sisi wamama kunalala bana
 
Nyie madogo naona mmesahau sheria na kanuni za hii sredi...........No ofu topic iz alaud!

Ila TF kazidi nilishamwambia huko juu back to topic hasikii huyu mtoto sijui kwanini asilizi wakubwa zake anapoambiwa kitu
 
In truth, politeness is artificial good humor; it covers the natural want of it, and ends by rendering habitual a substitute nearly equivalent to the real virtue

Aisee we dogo hebu tutafsirie hiki kizungu Cha Ichwandimi Parishi, Nyakaaju-Bunena.
 
Nyie madogo naona mmesahau sheria na kanuni za hii sredi...........No ofu topic iz alaud!

Babu tunahoji uadilifu wako, umeanza kwenda off topic kwa kukaa NYUMA YA MJUKUU
You have been WARNED!
 
Back
Top Bottom