Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Mimi babu kaniambia unamtafuta Karen... Ikabidi nikimbie mbio!! Hebu pata mwongozo kutoka kwa babu kwanza!
Keren, babu alivuruga tu mpango mzima vile anataka kukukagua mi namjua..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi babu kaniambia unamtafuta Karen... Ikabidi nikimbie mbio!! Hebu pata mwongozo kutoka kwa babu kwanza!
Keren achana na huyo, hajui anayemtafuta. Anabahatisha tu....
The Following User Says Thank You to Kimey For This Useful Post:
CPU (Today)
Yaani unatumia pointi za sredi hii ya babu kuchakachua wajukuu wa babu?? Haiwezekani siwezi kulifumbia macho hili?? Kama vipi lete mapene kwanza . . . .
Keren, babu alivuruga tu mpango mzima vile anataka kukukagua mi namjua..
Na akikataa kukubali talaka utafanyaje? Kumbuka hapa ni mtu mgonjwa hajiwezi na anajua mkiachana uwezekano wa kupatamtu mwingine ni nil.Wapo wanawake wengi wanaishi na waume zao ilhali wote wanajua kuwa "ndoa" hamna. Wanakaa pamoja kwa sababu mbalimbali ambazo kwa kiasi haziwafungi kivile kwenye mambo mengine.Hawa nao watasaidiwa vipi?
Kuna kesi ya wanandoa waliokuwa wanaishi mradi tu...mama akachukua jukumu la kufungua kesi ya talaka mahakamani.Kila kesi ikienda, mwanaume alijitahid sana kupinga talaka isitolewe kisa kwa vile anampenda bado mkewe na haoni kama ndoa imevunjika pasina shaka kama inavyotakikana kisheria. Kwa vile sheria nayo iko kulinda taasis ya ndoa, basi mahakama ikawa inakataa ombi la talaka.Mara kadhaa mwanamke alishindwa kupata talaka hadi alipozirai mahakamani ndipo wakaamini kweli ndoa imevunjika maana mwanamke alionyesha dhahiri haivumiliki kuishi na mumewe.Hadi kuzirai, angeweza kupoteza maisha!
Tusijadili jambo zito kama hili kimzahamzaha ndugu zanguni..tuangalie mapana ya hili suala. Katika mila na desturi za makabila mengi kulikuwa na mfumo na utaratibu wa kusaidia wenye matatizo kama haya ndani ya familia pasipo kuleta mfarakano au aibu.Lakini siku hizi jamii zimepoteza mila na desturi kwa kukumbatia usasa na dini na sheria zinazoweka mipaka ya mambo mbalimbali kwa nia njema. Hapa tutajadili weee lakini ukweli utabakia kwa yule anayeguswa na tatizo na jinsi anavyoona apateje msaada.
Nawasilisha.
Can we?
Shauri lako we baki kumtumzia babu hujui kabakisha cku chache za kuishu? Kamata wako kimyakimya!! watakucheka watu!
Kaizer, unaweza ukaninong'oneza ...nafikiri babu hatasikia, kwanza nafikiri ameenda kutafuta ugoro!
Babuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Babuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
:horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn:
Hilo la kutokuwepo Si ndo inaweza kua sababu?No mie na do na unayemjua hayupo humu tangu nimerudi
Hilo la kutokuwepo Si ndo inaweza kua sababu?
Kumbe off topiki tupo wengii eeeh
Hehehe nimekusoma komredi ngoja nisepe! Hujanionea Smiles leo?Yaani ungejua ishu BEHIND mimi kukusemelea wala usingesema yote hayo . . .
Kumbe off topiki tupo wengii eeeh
Hatutafanyia sebuleni kama hiyo Crap, mi nimeshika sheria zote za infii!Naogopa mie nisijepoteza mwana na maji ya moto
Na akikataa kukubali talaka utafanyaje? Kumbuka hapa ni mtu mgonjwa hajiwezi na anajua mkiachana uwezekano wa kupatamtu mwingine ni nil.Wapo wanawake wengi wanaishi na waume zao ilhali wote wanajua kuwa "ndoa" hamna. Wanakaa pamoja kwa sababu mbalimbali ambazo kwa kiasi haziwafungi kivile kwenye mambo mengine.Hawa nao watasaidiwa vipi?
Kuna kesi ya wanandoa waliokuwa wanaishi mradi tu...mama akachukua jukumu la kufungua kesi ya talaka mahakamani.Kila kesi ikienda, mwanaume alijitahid sana kupinga talaka isitolewe kisa kwa vile anampenda bado mkewe na haoni kama ndoa imevunjika pasina shaka kama inavyotakikana kisheria. Kwa vile sheria nayo iko kulinda taasis ya ndoa, basi mahakama ikawa inakataa ombi la talaka.Mara kadhaa mwanamke alishindwa kupata talaka hadi alipozirai mahakamani ndipo wakaamini kweli ndoa imevunjika maana mwanamke alionyesha dhahiri haivumiliki kuishi na mumewe.Hadi kuzirai, angeweza kupoteza maisha!
Tusijadili jambo zito kama hili kimzahamzaha ndugu zanguni..tuangalie mapana ya hili suala. Katika mila na desturi za makabila mengi kulikuwa na mfumo na utaratibu wa kusaidia wenye matatizo kama haya ndani ya familia pasipo kuleta mfarakano au aibu.Lakini siku hizi jamii zimepoteza mila na desturi kwa kukumbatia usasa na dini na sheria zinazoweka mipaka ya mambo mbalimbali kwa nia njema. Hapa tutajadili weee lakini ukweli utabakia kwa yule anayeguswa na tatizo na jinsi anavyoona apateje msaada.
Nawasilisha.
Hommie can I join you?WoS, njoo 2le bia mamii 4 zis useful post
Kaizer, unaweza ukaninong'oneza ...nafikiri babu hatasikia, kwanza nafikiri ameenda kutafuta ugoro!
HomeboyHommie can I join you?