Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Mada haijatulia hata kidogo. . . Uchakachuaji mwingi mno kila kitu kimeshachakachuliwa, afu mwanzisha mada alitakiwa kumimina maukweli yake na yeye kama alishalamba hiko kiapo? Na kama alishalamba ana maoni gani? Mana issue hapa sio jinsia tena bali ni uhusika wa tukio,waliohusika ni jinsia zote na wote walishalamba hivo viapo asa swali ni je uvumilivu unawezekana kwa kila nafsi katika mazingira haya ya global village au? Kwa upeo wangu mfinyu nadhani kipengele cha "mpaka kifo kitutenganishe" kiondoke,badala yake iwe "ntakuwa mwaminifu kwako kwa msaada wa Mungu mwenyezi katika siku atakazotujaalia kuishi pamoja".
 
The Following User Says Thank You to Kimey For This Useful Post:
CPU (Today)​

Yaani unatumia pointi za sredi hii ya babu kuchakachua wajukuu wa babu?? Haiwezekani siwezi kulifumbia macho hili?? Kama vipi lete mapene kwanza . . . .

Shauri lako we baki kumtumzia babu hujui kabakisha cku chache za kuishu? Kamata wako kimyakimya!! watakucheka watu!
 
Na akikataa kukubali talaka utafanyaje? Kumbuka hapa ni mtu mgonjwa hajiwezi na anajua mkiachana uwezekano wa kupatamtu mwingine ni nil.Wapo wanawake wengi wanaishi na waume zao ilhali wote wanajua kuwa "ndoa" hamna. Wanakaa pamoja kwa sababu mbalimbali ambazo kwa kiasi haziwafungi kivile kwenye mambo mengine.Hawa nao watasaidiwa vipi?

Kuna kesi ya wanandoa waliokuwa wanaishi mradi tu...mama akachukua jukumu la kufungua kesi ya talaka mahakamani.Kila kesi ikienda, mwanaume alijitahid sana kupinga talaka isitolewe kisa kwa vile anampenda bado mkewe na haoni kama ndoa imevunjika pasina shaka kama inavyotakikana kisheria. Kwa vile sheria nayo iko kulinda taasis ya ndoa, basi mahakama ikawa inakataa ombi la talaka.Mara kadhaa mwanamke alishindwa kupata talaka hadi alipozirai mahakamani ndipo wakaamini kweli ndoa imevunjika maana mwanamke alionyesha dhahiri haivumiliki kuishi na mumewe.Hadi kuzirai, angeweza kupoteza maisha!

Tusijadili jambo zito kama hili kimzahamzaha ndugu zanguni..tuangalie mapana ya hili suala. Katika mila na desturi za makabila mengi kulikuwa na mfumo na utaratibu wa kusaidia wenye matatizo kama haya ndani ya familia pasipo kuleta mfarakano au aibu.Lakini siku hizi jamii zimepoteza mila na desturi kwa kukumbatia usasa na dini na sheria zinazoweka mipaka ya mambo mbalimbali kwa nia njema. Hapa tutajadili weee lakini ukweli utabakia kwa yule anayeguswa na tatizo na jinsi anavyoona apateje msaada.
Nawasilisha.

...naaam, hapo kwenye mila na desturi;

hii ni pamoja na zile mila za kuzalishwa/kumzalisha na kaka/dada/ndugu mtu, si ndio ee WoS?
au, kumrithisha mke au mume kwa kaka/dada/ndugu wa marehemu.
 
Shauri lako we baki kumtumzia babu hujui kabakisha cku chache za kuishu? Kamata wako kimyakimya!! watakucheka watu!

Yaani ungejua ishu BEHIND mimi kukusemelea wala usingesema yote hayo . . .
 
Babuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Babuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

:horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn:

Acha unoko wewe bana mambo gani tena ya kushitakiana
 
Na akikataa kukubali talaka utafanyaje? Kumbuka hapa ni mtu mgonjwa hajiwezi na anajua mkiachana uwezekano wa kupatamtu mwingine ni nil.Wapo wanawake wengi wanaishi na waume zao ilhali wote wanajua kuwa "ndoa" hamna. Wanakaa pamoja kwa sababu mbalimbali ambazo kwa kiasi haziwafungi kivile kwenye mambo mengine.Hawa nao watasaidiwa vipi?

Kuna kesi ya wanandoa waliokuwa wanaishi mradi tu...mama akachukua jukumu la kufungua kesi ya talaka mahakamani.Kila kesi ikienda, mwanaume alijitahid sana kupinga talaka isitolewe kisa kwa vile anampenda bado mkewe na haoni kama ndoa imevunjika pasina shaka kama inavyotakikana kisheria. Kwa vile sheria nayo iko kulinda taasis ya ndoa, basi mahakama ikawa inakataa ombi la talaka.Mara kadhaa mwanamke alishindwa kupata talaka hadi alipozirai mahakamani ndipo wakaamini kweli ndoa imevunjika maana mwanamke alionyesha dhahiri haivumiliki kuishi na mumewe.Hadi kuzirai, angeweza kupoteza maisha!

Tusijadili jambo zito kama hili kimzahamzaha ndugu zanguni..tuangalie mapana ya hili suala. Katika mila na desturi za makabila mengi kulikuwa na mfumo na utaratibu wa kusaidia wenye matatizo kama haya ndani ya familia pasipo kuleta mfarakano au aibu.Lakini siku hizi jamii zimepoteza mila na desturi kwa kukumbatia usasa na dini na sheria zinazoweka mipaka ya mambo mbalimbali kwa nia njema. Hapa tutajadili weee lakini ukweli utabakia kwa yule anayeguswa na tatizo na jinsi anavyoona apateje msaada.
Nawasilisha.

WoS, njoo 2le bia mamii 4 zis useful post
 
Back
Top Bottom