Jibu lote amemaliza huyu mrembo!
Mtongozaji hajui kiswahili huyu. Siri ndo nini sasa?
Anajua sikakuambia hasinzii inamaana anausingizi we mjibutu mengine mtafundishana huko mkiwa ote
Huu ualimu wa memkwa usio na curriculum mie ntauwezea wapi? Atanichosha tu huyu
Najua utaona kama nakutania lakini kiukweli nakupenda sana.
Siri wala silali kwa kwa mawazo juu yako kimwana.Pls niwekee PM kama unadhani nina hadhi ya kushika madaraka ya ndani ya moyoni mwako!!
Hali mashauri ya moyo wangu imekupitisha kwa kura nyingi za ndio!!
Nakupenda sana aise lol!
Uki survive ban hadi kesho asubuhi na mie namrukia King'asti kwenye PM moja kwa moja...
Afu na wewe. Lione kwanza.kwani ameomba ukamfundishe? Mjibu mwenzio ili are
Afu wewe siku hizi sijui umehamia kwa kina mwigulu chemba? Paw hajawahi kumpiga ban mtu kwa ajili yangu. Ni mwanaune alie rational, anajiamini na anajua kazi yake. Hachanganyi mapenzi na kazi, ana brain ya kufanyia kazi na ya nyumbani. Anatambua anapendwa na anaheshimiwa, hahitaji ban kulinda penzi. Infwact yeye ndo aliniamsha kuwa kuna uzi nimedediketiwa nikaishia kumbaka tu!
kati ya mimi na hiyo binduki yangu nani mzuri zaidi? Naipenda AK47 yangu kuliko uso wangu. Labda haitakudhuru mwaya
Afu wewe siku hizi sijui umehamia kwa kina mwigulu chemba? Paw hajawahi kumpiga ban mtu kwa ajili yangu. Ni mwanaune alie rational, anajiamini na anajua kazi yake. Hachanganyi mapenzi na kazi, ana brain ya kufanyia kazi na ya nyumbani. Anatambua anapendwa na anaheshimiwa, hahitaji ban kulinda penzi. Infwact yeye ndo aliniamsha kuwa kuna uzi nimedediketiwa nikaishia kumbaka tu!
Huu ualimu wa memkwa usio na curriculum mie ntauwezea wapi? Atanichosha tu huyu
Huu ualimu wa memkwa usio na curriculum mie ntauwezea wapi? Atanichosha tu huyu
Hebu mkkubalie mwenzio.
Ujue 'fest lavu' inauma sana?
Naomba unishauri my dear. Nna miaka 8 sijatongozwa so this came as a shock. Ngoja kwanza.
Naomba unishauri my dear. Nna miaka 8 sijatongozwa so this came as a shock. Ngoja kwanza.
That is very nice of yours lakini co occurence ya matukio inashawishi kuamini hivyo, kwa nini wimbi la ban liniandame sana at that very time when i was trying hard to be close to you na nilipojiweka pembeni ikawa ndo mwisho...!? sishawishiki kuamini kwamba that was just a mere coincidence...!!!
Afu na wewe. Lione kwanza.