Eti kuna dawa ya kumpata sugar daddy?

Eti kuna dawa ya kumpata sugar daddy?

Kwanini unataka sugar daddy?
Mbona wewe ni mpambanaji unaweza kupata pesa zako mwenyewe tu!

Tafuta kijana wa umri wako mjenge familia hapo utapata uhakika wa Morning Glory za kutosha!
Kwahiyo baba cathe hujamkubalia bado?
 
“Sugaaar mamiii hiii mama kubwaaaaa aaah sugar mamiii mama mama kubwaaa aaa” by dully skyes
 
Back
Top Bottom