Hata Galileo Galilei alihukumiwa kifungo cha maisha na watawla wa Roma kwa kusema dunia ndio inazunguka jua na sio jua linazunguka dunia, msimamo ambao ulikuwa kinyume na mafundisho ya Kanisa wakati huo.
Leo hii, modern sayansi imethibitisha Galileo alikuwa sahihi. Hivyo, hata nyingi mkimuhumu Lissu kifo, kuna siku anachokipigania kwenye hii nchi kitatimia akiwa hai au amekufa na heshima itakuwa upande wake na zaid historia itamkumbuka kama Yesu na Galileo waliohukumiwa pasipo kuwa na makosa.
Kazi mnayo.