Eti kwa sababu mpenzi wake ha-view status zake wala hamposti mitandaoni, ameamua kum-unfollow Instagram na maeneo mengine, ugomvi mkali umeibuka

Eti kwa sababu mpenzi wake ha-view status zake wala hamposti mitandaoni, ameamua kum-unfollow Instagram na maeneo mengine, ugomvi mkali umeibuka

Kutokumfollow, kutokucomment na kutokulike status za mpenzi wako siyo ishara kama hauko pamoja naye au la.

Changamoto ni pale asipojibu SMS za kawaida au akijibu kesho yake. Ebhana inaumiza moyo. Nikiona mwanamke anatabia hii namuepuka mapema, ni dalili mbaya ya mahusiano ya mbeleni.
 
Sikutegemea Kuona Kada Kama wewe kuandika heading kwa kuanza na kaneno "ETi".
Aseee.
 
Mpumbavu huyo, nilifikiri anaumia kaweka post za biashara hakuna wateja wa kuview na kumpa order!!
Kumbe anapost traco anataka mwanaume aview ushubwada wake?!! Ujinga mtupu
 
Sikua nazingatia kupost au kutokupost kwake wala anapost nini, ila alinihide ndipo akapost bila kujua namba zangu zote zina account tsAp na nlipomuuliza akakili hakutaka nione. Hiyo siyo shida alimpost mshikaji wamekaa tu kama wewe utakavoamua kukaa na Crush wako.

Niliachana nae tangu siku hiyo na hii ilinipa nafas ya kuona maovu mengi aliokua akinificha ila ujinga wangu wa kujifanya matured and don't care ulinifanya nisijue hayo yote so ningekuja kuachwa pabaya sanaaaaa.

Ni sahih kumshuku au kumhukumu kabisa mtu kwa anachopost au anavyokutreat mitandaoni huko ndipo ziliko tabia zao na wanaotamani kua nao.
 
Back
Top Bottom