Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umepiga katika mshono ungeaweka thread umeongea factTell me the difference, ingawa huyu ni mzinzi na huyu ni muasherati. Je, dhambi ya uzinzi ni kubwa kuliko ya uasherati? Kila siku vijana humu tunatoa mada za kuwa mwanaume lazime tuwe na michepuko tena tunaisifia. Kipi kinachokufanya uione ndoa ya muhimu kama kanuni zake huzifuati na huiheshumu.
Dunia ya sasa ukifikisha miaka 35 alaf bado hata mtoto huna, Unajitafutia kutongozwa na mi sugar daddy.Hawa dada zetu naona sijui wamepatwa na Nini ukimpa tu namba yako , anafanya Kazi ya kukuchunguza Kama umeoa au hapana.
Mimi imani yangu inanambia nabidi kusaidia wazazi wangu , masikini, na Yatima tu .
Huu mradi wa Ndoa upo kiupigaji Sana . Bora nisaidie wahitaji kwanza, endapo nipokea wito ntaoa lakini sio kwa kumuonea Mtu Huruma aliyeshindwa kujitunza.
NB tuendelee kutunza Ushuhuda Uzinzi haufi na ni uchafu
Ndoa haina huo umuhimu unao chorwa kila sikundoa ilikufanyia nini mkuu naona unaipinga kwa nguvu kubwa sana?