Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kweli asee. Hii kwaresma tuyatakie mema makalio yetu.Kwaresma hiii
Say No to Mafuta!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli asee. Hii kwaresma tuyatakie mema makalio yetu.Kwaresma hiii
Dawa yako kilimanjaro.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] ushafahamu vibayaThanks... Japo sitakuja na mafuta ya kupakana makalioni.
say no mafuta kwako sio kwanguKweli asee. Hii kwaresma tuyatakie mema makalio yetu.
Say No tu Mafuta!
hahhahah watajua wenyewe wanazo ziacha hiv una nn lkn DabyDawa yako kilimanjaro.
Sasa wewe unazowekaga humo wao hawana mababy?
[emoji23][emoji23][emoji23]Labda mwanamke anaweza kupakwa na mwanaume wake,na mwanaume akapakwa na mwanamke wake ingawa mm huwa sipendi kushikwa matako na mwanamke na siruhusu hata mkono upite kwa bahati mbaya
Umemuona ndugu??[emoji15]bashite anapaka mbona
Anhaaa... sasa ntalazimima kuyakagua nione kama unasema ukweli.napaka mm
Hamna miguu iko soft kawaida sionagi hata haja ya mafuta.. Nikiwa Dar ndio hata usoni sipaki kitu.. Maana joto na mifuta tena aahh keroDuh pole sana, si ukimkwaruza shemeji utamtoa kidonda??
Nina muwa.....[emoji4][emoji4]hahhahah watajua wenyewe wanazo ziacha hiv una nn lkn Daby
Umeona km kweli eee...[emoji23]Kwa jinsi comet zilivo inaonesha kuna ukweli juu ya hilo ila pia lazima ujiulize upake mafuta makalioni mwanaume ili iwejee??
Orayt say Yes to KY kwa Shunie.say no mafuta kwako sio kwangu
hahahhhh nakusemeaAnhaaa... sasa ntalazimima kuyakagua nione kama unasema ukweli.
Nipangie tarehe...
[emoji23][emoji23][emoji23] picha naombaNina muwa.....[emoji4][emoji4]
Mfyuuu ky ya nn mm Babu hahahhaha ila umenichekesha babu dume zima utapakaje mafutaOrayt say Yes to KY kwa Shunie.
Say No to mafuta kwa babu.
Dume zima utapakaje mafuta kalioni?? Labda itokee nimeshuhudia Simba akipaka mafuta kalioni mwake.