Eti kweli jamani???

Eti kweli jamani???

Swahiba naona unashambulia...

Haya bwana
Swahiba huwezi jua mipango ya ibilisi. Anaweza kuwa leo kaamua kutumia mafuta na makalio kutupatia michepuko.

Mi shetani huwa namkubali sana kwenye tasnia ya uchepukaji bila shuruti
 
ni mm siyajui zaidi ya kuyaona kwenye picha kumbe ni mafuta ndio najua leo
Ok turudi kwenye yale mafuta yako. Huwa unajipaka kwenye kalio tu au mpk kwenye mfereji wa suez??

Maana kama unapaka mpk kwenye mfereji lazima utakuwa unaachia ushuzi wenye harufu nzuri kama ya sabuni Revola.
 
hahahaha....ila Kama kuna kaukweli flani ivi...Lakini dume zima unaanzaje kupaka mafuta kalio aiseeee...
 
Swahiba huwezi jua mipango ya ibilisi. Anaweza kuwa leo kaamua kutumia mafuta na makalio kutupatia michemko.

Mi shetani huwa namkubali sana kwenye tasnia ya uchepukaji bila shuruti
Kama kawaida yangu nikutakie kheri

Kutubu niachie mimi
 
Back
Top Bottom