Eti kweli jamani???

Eti kweli jamani???

Ok turudi kwenye yale mafuta yako. Huwa unajipaka kwenye kalio tu au mpk kwenye mfereji wa suez??

Maana kama unapaka mpk kwenye mfereji lazima utakuwa unaachia ushuzi wenye harufu nzuri kama ya sabuni Revola.
hahahhah yan we babu hivi upoje lkn
 
Kuna ukweli. Kwanza mi napaka mafuta maeneo yanayokuwa wazi baada ya kuvaa nguo. Sasa maeneo kama mgongo, tumbo, nayo niyapake mafuta ya nini na joto lote hili huku kwetu!
 
watu huwa wanaforce upuuzi wao ujadiliwe kwa mbinu tofauti tofauti
 
Back
Top Bottom