Eti kweli jamani???

Eti kweli jamani???

Kuna ukweli. Kwanza mi napaka mafuta maeneo yanayokuwa wazi baada ya kuvaa nguo. Sasa maeneo kama mgongo, tumbo, nayo niyapake mafuta ya nini na joto lote hili huku kwetu!
Just to keep it soft[emoji1]
 
Back
Top Bottom