Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Dooh nimeamini hii ndoa imekufa Nyumbani Lounge imebadilishwa jina
Swali langu hamjajibu, vikombe na grasi pamoja na vyakula ni vitu vya kumpa mtu urithi? Au lile jengo ni mali ya Jide?
Kwani we uliambiwa mali pekee anayomiliki jide ni nyumbani lounche? Acha kukalili. Kifupi Anaconda anamiliki Brand ila jengo anapanga. We unafikiri kumiliki sehemu kama ile ni kama kununua ardhi mabwepande?
Una hakika na usemacho ama unaropokwa??
Baba nzima linadai urithi
Jana sijaona diary ya Lady JD.
Badala yake nimeona kipindi cha Gadna G Habash..
Je Gadna kaizika rasmi Diary ya JD??
Umeongea usicho kijua!Jana sijaona diary ya Lady JD.
Badala yake nimeona kipindi cha Gadna G Habash..
Je Gadna kaizika rasmi Diary ya JD??
Umeongea usicho kijua!
Ni kuanzia lini hicho kipindi kinaoneshwa alhamisi?
Jana sijaona diary ya Lady JD.
Badala yake nimeona kipindi cha Gadna G Habash..
Je Gadna kaizika rasmi Diary ya JD??
Swali langu hamjajibu, vikombe na grasi pamoja na vyakula ni vitu vya kumpa mtu urithi? Au lile jengo ni mali ya Jide?
Nasikia nyumban lounge imebadilishwa jina sasa ivi inaitwa sijui new mog lounge sina uhakika na jina, na wanaizindua upya tareh 30, gadner atajibeba
Mali zote ni za jide, japokuwa gadner amesaidia sana jide kuzupata hizo pesa